Nipepee Audio Lyrics | Hadatha

preview_player
Показать описание
'Nipepee' is out now:

Connect With Brian:

Production:
Song: Writers – Hadatha MyLose, JayMiles
Song: Vocalist - Hadatha
Song: Producer – Azzo Drey, Akhi Brown, Zakayo Sindwani
Song: Mix and Mastering – Zakayo Sindwani

Call / WhatsApp: +255718863913

℗ & © 2022 Ibcdbrand RL.

Lyrics: ‘Nipepee’
Writers – Hadatha MyLose, JayMiles

VERSE: 1
Haba na haba kanijaza kwa kibaba,
penzi lake lanitosha mi tahabani,
Utasema ni limbwata au uenda kashaniroga,
maana bado sijajuaga oooh lalalah,
Akitaka tembele mi nachuma,
Hata kama mbuz akigoma,
Nampelekaga pwani na bara (Mmmh mmmh),
Akitokwa kipele tu anaumwa,
Taratibu huwa namkuna,
Anajilegezaga yan huyu baba (mmmh mmh)

BRIDGE
Acha niweke wazi, amenikamata
Ameniteka yani, kwake nimedata aaah
Kwenye moyo wangu amejaaa sana
(Uuuh! moyo amejaaa sanaaa)

CHORUS

Nipepe nipepeee (beiby)
Nipepe nipepeee (Wewe)
Nipepe nipepeeeh (beiby)
Eeeh nipepeeeeeeh (eeeeh)
Nipepe nipepeeeh (kwenye joto kali)
Nipepe nipepeeeeh (beby nipepe)
Nipepe nipepeeeeh (my beiby)
Nipepe nipepeeeeh eeeh (wewe eeeh)

VERSE 2

Kilema nimepata ka mwendo,
Yani nshatupa magogongo,
Mwanzo nilikuwa na mapengo,
yote umeyazib aaah aah
Basi zidi kunipepelea
Penzi kama nyundo wewe gongelea
Eeeh gingeleeeeeya

Do le mi fa so la ti do you give me what i never seen before?
You give what i never seen before
You give me what i never seen before
Do le mi fa so la ti do you give me what i never seen before?
What i never seen before

BRIDGE
Acha niweke wazi, amenikamata
Ameniteka yani, kwake nimedata aaah
Kwenye moyo wangu amejaaa sana
(Uuuh! moyo amejaaa sanaaa)

CHORUS
Nipepe nipepeee (beiby)
Nipepe nipepeee (Wewe)
Nipepe nipepeeeh (beiby)
Eeeh nipepeeeeeeh (eeeeh)
Nipepe nipepeeeh (kwenye joto kali)
Nipepe nipepeeeeh (beby nipepe)
Nipepe nipepeeeeh (my beiby)
Nipepe nipepeeeeh eeeh (wewe eeeh)

#music #love #hiphop #rap #art #musician #artist #musica #instagood #singer #instagram #dj #follow #rock #like #dance #guitar #s #photography #song #newmusic #producer #life #rapper #party #fashion #explorepage #viral #beats
Рекомендации по теме