WEUSI - Interlude Nyeusi

preview_player
Показать описание
#Weusi
Produced by Goncher Wanene Studios
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nani Kaja Kuangalia Tena Baada Ya Kusikia Nyimbo Ya Kikosi Kazi

samoocoolingsystem
Автор

Kikosi kazi kwa awa jamaa wakasome sana, weusi hiphop yao imetulia sana hata club inachezeka, music ni biashara sio unakaza huku unakufa njaa

anoldpotentin
Автор

Wanangu like za lord eyes kumi tu zinatosha

hassanimapanga
Автор

1. G nako
2. Joh Makini
them bars 🔥

dazedconfused
Автор

SIKUJUAGA KUWA KUNABONGE LA ATO HUKU WANENE HUKU KIKOSI KAZI HAYA NATAKA UGOMVI UENDELEE TUPATE FLEVA SISI

BUTTERFLYTZONLINETV
Автор

I don't understand what they said but the shot boy and last two guy they killed it. Salute from Mozambique 🇲🇿

santosmoiseschivale
Автор

Weusi mnarap sawa ioa HIPHOP halisi ipo TAMADUNI na KIKOSI KAZI.

kibwamoko
Автор

Wanakata kuwa awajamtaja mtu ila mistari yao ilikuwa izumuni kabisa kuwarenga kikosi kazi

hamdanmrisho
Автор

Asee hi ngoma sichok kuiskiza kila day lazma

abdulkarim
Автор

4 Babylon from "USA"!!!! Chupi ndo inabana mwana juu hujanenepa mwana!!! Weusi forever

alfredlaurent
Автор

Culture haiwez kutunzwa na watoto mchele ..mcheleee mcheleee
#songa

nestoryemmanuel
Автор

Weusi bigap sana bila nyieshey tauni bado

fpctsamariakahama
Автор

Lord 👀 went in the beat without knocking hodi...🔥

johngabrielz
Автор

King izz, , nahuyunae mbimbixhi mbonakama Nikki, , oyaa wajomba hamna mbaya kwangu asee, , fido vato panya 1000, tu ndomana haixhi kudis kundi na kumwandama joh makin kipenzi cha watu

ndeumc
Автор

Kikosi kazi kweli ni kikosi kazi kazini ni motoooo

breezygang
Автор

Words play ya wasafi ni brave! These guys are not to play with.. Niki uko poa sana( your wordsplay are so awesome)

chrisjonas
Автор

Oya Nyie Vibonde Mnaleta Uwoga Wenu Wa Kidunya . Mnavua Nguo Hamsemi Mnaoga Au Mnakunya . Misuti Imewavaa Kama Mnakwenda Sabato

mohammedikitambulio
Автор

nyie weusi sasa mmeshindikana..hii game ya hiphop mkaifanyie marekanii.

Unyama mwingi humu ndani mpaka nashindwa kugawa marks.

#Weusi #ChamaTawala #Twawala

leonardoharold
Автор

Wakuu mko poa...
Sema ile intro ya 'a city in da house' mmesaau ase

alleroStudio_pszone
Автор

Lord Eyes anatakiwa afanyiwe kitu special ...this is MAN IS OG

pulltheskymusicgroup