THE CLASSIC CHIDI BEENZ EP 1:BEEF NA PROFESSOR /MWANZO WA KUINGIA KATIKA MADAWA/JE ALITEGESHEWA

preview_player
Показать описание
Hii ni sehemu ya maongezi ambayo tulifanya na Chidi beenz mwaka mmoja na nusu uliopita ,kama hukuwahi kuiona walau hii ni sehemu ya mahojiano hayo
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Brother chid nakuelewa sana Mungu akulinde sana

yusuphmakhahala
Автор

Inaonekana ya moto sana hii, tukitulia tutasilikiza

ujenziwanyumbakisasatanzan
Автор

Ilala, La familia inanikumbusha mbali sana, enzi hizo

pauljosephtarimo
Автор

Jana tu niliitafuta ile ngoma ya chiku k ft chid benz ya lonely! Aisee chid alikuwa Ni hatari Sana! Ile flow ya verse yake Ni noma Sana! Namna alivyonata na Ile beat na zile swaga daah hatari Sana! Huyu mtu alikuwa Ni shida Sana! Ana uwezo mkubwa Sana!

georgeburchard
Автор

Usimsahau Jose Mtambo mnamtenga sana nyie watangazaji wa Bongo wakati jamaa katika matop 5 dead or live yupo tuletee tumsikie ndugu

albertbunyinyiga
Автор

Inakua poa sana yaani kumuona braza karidisha mwili wake
kweli kuteleza sio kuanguka na kuvunjika Kwa mwiko sio mwisho wa upishi

Alhabib_Mohaa_
Автор

Big fanya Mpango mlete Jos mtambo Kumbuka jamaa katoka mbali kabla Yao, , , Ngoma tunaskia ila yy kimya na interview

jengadaudi-oewq
Автор

KAKA SAUTI YA BEAT PUNGUZA UWA UNAWEKA JUU SANA

Heismasai
Автор

Interview nzur sema inabidi mna Improve kwenye sound zena km makamasi flani

scorpionkiro
Автор

Aliemhusisha Manara na Yanga ni karata Dume mwenyewe Simba wa Morogoro

feronandsulubu
Автор

Chid urithi wake utadumu vizazi na vizazi, mara kwa mara anaongea kuhusu upendo ila wasanii bado hawaelew, angekuwa kwenye dini tungemuita nabii

barakajpilly
Автор

Ukimuhoji Chid ww ndio utakuwa msikilizaji...

rahimmarions
Автор

TUNAMUOMBA NOORAH TAFADHALI, , WASANII WENGINE MNAWARUDIA KILA DEI.

hassanbakari
Автор

hii ngoma iko background ya chid benz inaitwaje

mohamedslh