MJUE MUNGU ROHO MTAKATIFU SEH. 1 - MCHUNGAJI PAUL SEMBA

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Amina 🙏🙏 pastor mungu wetu aendelee kukutumia Kwa ajili ya utukufu wake 🙏🙏

victoriaachia
Автор

Mungu anaongea na mwanawe aliye na sura yake

japhetndoro
Автор

Roho mtakatifu ni Roho wa Mungu sio Mungu mwingine acheni biblia iseme yenyewe

EliabuShima
Автор

MUNGU huapa kwa nafsi yeke Isaiah 45:23, 48:11(Jeremiah 22:5, 49:13(1 samwel 2:27 ( Genesis 22:16

fredrickgitonga
Автор

Huyu mchungaji anapoteza watu jamani hakuna utatu katika bibilia

japhetndoro
Автор

Pastor Hapo pagumu
Kagueni vyema mafundisho hasa hili la Mungu, , msijekujikwaa bure

benjaminlawi
Автор

Kama hamtasikiza mafundisho ya ndacha na onyango mmepotea

japhetndoro
Автор

Wako na cheo gani wwe ndio unasema cheo bibilia haisemi ivyo

japhetndoro
Автор

Huyu amefundishwa theology hata hataki kufundishwa na ndacha

japhetndoro
Автор

MUNGU roho ni yupi uyo kulingana na Biblia, Mimi nayua tu roho mtakatifu wa MUNGU Baba na wa mwanawe YESU KRISTO, alafu kukufuru roho mtakatifu ni kumkana YESU KRISTO kuwa sio Mwana wa MUNGU

fredrickgitonga
Автор

Pastor, Ukweli haupatikani kwa Kufikiri.

Hayo maandiko yana maana zake, , wala hayasemi habari za Utatu, , hilo halipo

benjaminlawi
Автор

Sasa na roho wa MUNGU ni yupi kama roho ni MUNGU ki vyake

fredrickgitonga
Автор

Kama MUNGU niwa nafsi tatu mbona katika Biblia yeye huapa akisema naapa kwa nafsi yangu, na Wala haapi kwa nafsi tatu, soma Jeremiah 22:5, nifafanulie Hilo mtumishi

fredrickgitonga
Автор

Mafungu machache tu baathi ya mengu ya Biblia, Alf MUNGU kuongea na wingi huongea na YESU KRISTO ambaye ni mwanawe, Wala sio nafsi tatu

fredrickgitonga