HIZI NI DALILI ZA HATARI UKIZIONA KWA MTOTO | AFYA PLUS

preview_player
Показать описание
DON'T MISS "VITUKO VYA MORRISON NJE YA UWANJA NA NDANI YA UWANJA"
#jamvionlinetv
HIZI NI DALILI ZA HATARI UKIZIONA KWA MTOTO | AFYA PLUS
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nashkuru kwa somo docta.. mwanangu mwez huu anatimiza mwaka shida tokea akiwa na miez Saba kilo zimesimama haziendi nimeambiwa nimtengenezee lishe lakin bado

ayubushayo
Автор

Habari doc mwanangu ana miezi Saba anakataa kula nifanyeje

ishaqzuberi
Автор

Asante doctor kwa elimu nzuriii ninashida pia mwanangu shingo inalegea sana ukimlaza kugeuka ni shida mpaka umugeuze naomba msaada

VeronicaRunkulatile
Автор

Dactari ujambo mimi ninaxukuru mola kwa kupata nafaxi hii mtoto wangu Ako na mwaka Moja na miexi xaba Nina mwangaria ana furah kama jana nikaa anaumwa na tumbo Arafu anatapikia mpau na mdomo

AlexNyanga
Автор

Asante sana doctor Kwa elimu nzur Ubarikiweee sana

MarianamachaMacha-dybz
Автор

Doct asant kwa som.mi mtt wang anamiez sab ila shingo bado haijkaz shida nn wala hjaanza kushik shik vitu

SifaMponzi
Автор

doctor mtoto wangu analia nonstop tangu nijifungue

GraceTawai
Автор

Dokta Pole kwa kazi, naomba msaada wako mjukuu wangu toka usiku analia sana alafu ataki kunyonya

rehemakitambi
Автор

Mwanangu miezi5 shingo imelegea sana. Kulia sana homa nisaidie mkuu

eliaoleshengea
Автор

Asantee. Sana. Dockt. Kwaushauli.. Mzuli. Nimejifunza. Mengi

rukiapatrick
Автор

Dct mtoto wangu Aqo na miezi nane, nahatakangi kusimamisa miguu ya, arafu anakaanga kusika joto sana, , sanasana kwa singo, , , , arafu hananga furah ile ya watoto, , ,

JoyKinya-pf
Автор

Asante sana dk kwakutufahamish na mm mtoto wangu ana miezi 3 nimekufaham vizuri sana shukrani na mungu akubariki tkt kazi yk inshaallah

HalimasaidNassor
Автор

Asante Sana doctor ila mtoto wangu hasimami hata kwenye miguu

SiwemaMichael-ec
Автор

Nanufaika sana sana juu yako doctor mwanangu anamiezi mnne sahz bado ajafunga mnne zaidi mafua yanamsumbua

FetyMsangi-pzos
Автор

Daktar nashida
Mwanangu ana miezi 7 sasa hila kuna hali kainzisha sijui ni nini katika Kukaa naye kucheza naye kuna mda kama anakaza mikono na miguu sijui inaamahan gani mpka sasa akiwa anataka kunya ana kaza mikono na miguu yani kama anakakamaa😢😢😢
Shida nini doktar

OmaryMustapha-fd
Автор

Dokta mtoto wangu anamiezi minne lakini ukimpakata kwa kumkalisha shingo inainama chini pamoja na mgongo je! Atakuja nyooka?

dianamkombe
Автор

Mwanangu ana mwaka Sasa nimemzaa kilo 4 na nusu lakini mpaka Sasa ana kilo 7 hataki kula ananyonya tu.ngozi yake nyepesi nimempeleka hospital dokta kaniambia haumwi nizingatie lishe Sasa hataki kula chochote nyonyo Tu amekonda silidhishwi na afya yake lakini amechangamka sana mtundu sana nisaidie ushauri mawazo nisaidie dokta

JamilaBundege-mtdy
Автор

Samahan mwanangu anapenda kulala sakafuni je hakuna shida apo maaan sio kawaida kaanza ivi kalibuni

AnethSanga-pz
Автор

Doct mtoto wangu hajaanza kutembea ana mwaka saizi ni kwanini?

pastormarytz
Автор

Unafundisha vizuri nasubiri kwa hamu somo la lishe ya mtoto wa miezi sita na kiasi

mringoneemamringo