Simba yawasili Libya kuivaa Al Ahly Tripoli

preview_player
Показать описание
Kikosi cha Simba kimewasili mchana huu Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mitiga Mjini Tripoli nchini Libya kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza raundi ya pili Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji wao Al Ahli Tripoli utakaochezwa Jumapili Septemba 15.

#CAFCC #KombeLaShirikishoAfrika #SimbaSC
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Simba nguvu moja Mungu naomba uibariki Simba sports club 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

WendeMposola
Автор

Mungu ibarik chama language Simba mnyama tupate goli2bila

ISAACBANZA-tj
Автор

Simba watashinda Kwa uwezo wa Allaaaah

georgegregory
Автор

Alhamdulillah Rabillah Allah miinnah 🤲

iddiramadhan
Автор

Kila la kheri timu yangu ya simba katika mchezo wenu mtakaocheza jumapili nawatakia ushindi mwema

LilianEmanuel-lhwy
Автор

Nchi hii jmn, sioni hata miti, kweli jangwa

FrankChalula-hzdn
Автор

Makolo fc Vikoba fc madunduka fc Ubaya Ubwela fc manyumbu fc. Mfungwe huko Mola awalaani

TwahaAliMtumbi
Автор

Achan nao hawakuhusu we mwenyew ukipekuliwa nguwo umejaa marasta

HusseinHussein-fn
Автор

Ss nikushinda2 Kila heri ubaya umeludi

Osca-lkhn
visit shbcf.ru