Steve Mweusi Aliwavunja mbavu kina Diamond kwenye Show ya Ndaro na Leonardo.

preview_player
Показать описание
© 2024 Ophoro Tube. All original content is protected under copyright law. Unauthorized use, reproduction, or distribution of any material is strictly prohibited.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Steveeee😂😂😂😂😂😂mm kukuona tu nacheka kabla hata hujaongeaa

glorymanga
Автор

Uko vizuri stivu. Standing comedy unaiweza

YASONISACKVICENTYASON
Автор

Nakukubali sana kaka, mimi ni Christian batenga, toka Drc Congo, Bukavu.

Christian-hdg
Автор

Wallah chui mfante stiv mfanye kitu hapo kidogo tu ishanoga😂😂😂😂😂😂😂😂😂

LailatAbdullah-wd
Автор

Nakupendaka sana yangu Steve, mimi ni Christian batenga, toka Drc Congo. Bukavu

Christian-hdg
Автор

Kaka ulitisha ulipo taka kuwamwagia maji 😂😂😂

AlbillyMassawe
Автор

Oooh mwigizaji bora, dah tunakupenda saana hapa kwetu 🇨🇩🇨🇩, {l'ado}

tyxeladoemerry
Автор

Nani mwingine amebambika na steve kama mimi goka like tukisonga

nzilani
Автор

😂😂😂😂😂😂😂uyu mwamba namkubali sana kenya twakupenda sana kaka🤣😂

DjShalom-uwsk
Автор

Steve weyeninoma sana wenyeniwakwanza kwenu tanzani

RuhuneKabose