Jagwa Music - Asha

preview_player
Показать описание
Second track from Volume 5: Tumechoka Hoi.

Mesmerizing.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Dah miss sana kigogo, nyimbo ikipigwa hakuna atakaekaa, miss sana wahuni wakigogo japo mlikuwa mnakaba sana watu😂😂mana ndo yimbo zao mnanda

paskastanley
Автор

Daah na Miss sana home kwetu msasani namanga

tildahongkong
Автор

🤭 Nimeipata, watoto wa 2000 gonga like ❤️🔥🔥🔥
2024

jaluluguidoty
Автор

hb nambie kweli Kama unitaki usinitapeli😍😍

khamisamour
Автор

Mungu amlaze pema peponi yarab 🙏 nyimbo nzuri sana

raniajohn
Автор

Nawakubali Sana wahuni wangu R.P.I dogo jack simela

hemedmtunguja
Автор

Daaa.... Kitambo sana feeling zinaludi nyuma sana

fredichaki
Автор

mmoja wenu Watanzania aniuzie kanda za bendi hii tafadhali

thecatonice
Автор

Jack simela...rip..hata kama wengi awataijua thamani yako mimi nitatosha kuijua..you were the best ..wazungu na wachina wanaijua thamani yako zaidi yetu sisi hasa pale ulipokuwa ukienda kupiga show nje. Rip

kilingechasimulizi
Автор

Jamani nimeimbwa nahamniambiii, wow, nimependa jmn 😂

ashacarzola
Автор

Asante kwa kutupaisha wakina Asha😍😍bigapu sana

MozaSaidi-ysqm
Автор

Ama hakika old is gold...nikitambo sana takriban ya miaka....baba j Daahh ama kwel enzi arud nyuma nakumbuka miaka ya nyumaaa ndani ya chaka bovu ikiwa makao yao mwananyamala kisiwan ni JAGWA MUSIC FOREVER

allyrashid
Автор

Yan naipenda mno hua nikisikia nakumbuka maisha ya zamani mpaka mda mwingine nalia

rahmabuta
Автор

Yan leo nmekumbuka mbali sana mzee white pale mburahati kwa shebe ndio mtu pekee alikua anaruhusu hizi nyimbo wengine wakizani ni za kihuni lakini nlkua natoroka nyumbani juma pili nikamuone KAMONGO MAJARINO RUBANI MKUU WA DEGE LA JESHI wakiwasha moto na vinaja wake 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

kaismbwana
Автор

Nani yupo hapa leo 2023 tujuane kwa like tu na muziki wa kwetu kivyetu vyetu

mickidadybakari
Автор

R.I.P LEGEND BABA J
JAGWA NI KUNDI LANGU BORA LA MUZIKI

frankjohn
Автор

Skia maneno matum mbka unatakulia jaman dunia inaenda wapi skiliza nyimbo za sasa matusi matupu

kigarawabuildings
Автор

Nilikuwa na Asha wangu inaniusu ii nyimbo

logasianthadei
Автор

Local drums, 1 cheap synthesizer, no fx, non-condenser mics, but still banging... Some kids nowdays should reminisce this one and dance

tazafrosoul