#ZaNdaaani KIJANA ANABAKI / AKUTANA NA KLABU, MENEJIMENT YAKE YATOA MASHARTI

preview_player
Показать описание
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113

LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻

Follow Us On:

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wassafi muko sahihi kuwatetea wazawa, lakini wameshindwa kutafuta wasimamizi wenye uweledi na umasikini wetu unachangia mengi

shamounali
Автор

Aliyesikia jina la fei agonge like hapa

KENETH-PETRO
Автор

WACHEZAJI WA NDANI TUNAWAKOSEA SANA. INABAKI KUWA FULANI ANACHEZEA TIMU KUBWA. TUWABORESHEE MASILAHI YAO

anithawidambe
Автор

Management kimaandishi bhana mnafeli wapi. Kiswahili hatuna neno hilo kimaandishi, kimatamko sawa utaweza kutamka hivo menejiment ila sio kiuandishi.. hapa mumefeli kiukweli.hii media ni kubwa acheni hayo.

sahimm
Автор

Wamlipe vizuri sio maneno tu, kijana anatafuta maisha

rugijofrey
Автор

Wakwanza aiseee like zenu wananchi💚💚💚💚💛💛💛💛

nestory
Автор

Yaaan una mdere George Job na Dickson hapo hapo 😂😂😂

BarakaWaya
Автор

George kamind kugusiwa za ndanii za mchezaji wake😂

dominiceugene
Автор

Nchi hii wenye akili ni wachache, , endelea kuchezea redio ya bwana simba

agastprudence
Автор

Liongo liongo saana hilo jamaa linadoyeya chakula kwa mondi

sadamramadhan
Автор

Huyo mwanasheria wake ataweka wapi sura yake?

georgemedeye
Автор

Nyie wachambuzi wa michongo mnajikaanga wenyewe😂😂😂😂😂

yusuphjilala
Автор

Aliyewadanganya Feisal Salum Fei toto kamwongopea

scopy
Автор

Ktk watu cjawahi kuwaelewa n pamoja na ww jamaaa

richachenje
Автор

Huyu mzee wa zandani ya chupi leo ana mpya gani? Kuna mchupi kaona tofauti ya uvimbe nini ? Basi uwo uvimbe labda shipa inawezekana

jimmymnuano
Автор

Acha uongo kwan Feisal mkataba umeisha

obeidobeid
Автор

Wandani wengi watupunawakifaulu kidogotuwanakosa nidhamu

yusuphjilala
Автор

Acheni kuchochea kwani wewe utakua unalipwa Sawa na watangazaji wa BBC?

abdallahshaibu