Azizi Shauqiy - Rafiki Mnafki (Official Qaswida)2022

preview_player
Показать описание
#AziziShauqy
#RafikiMnafki
#EP
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mashaallah, endelea kutoa husia kwa umma, Allah akujalie🙏🙏

saidyhinga
Автор

Mashallah azizi unajua kwenda na wakati na unajua kuflow vizuri sana nimeipenda!!! Hiii hata sisi wakristo tunasikiliza!!!

vestinakomba
Автор

Mashaallah Allah azidi kukuongoza kipaji kizuri

Minaahcosmetics
Автор

مشاءلله الله يعطيك العفية‏و أبشري بعزك

salumkaniki
Автор

Mashaallah kijana wangu chapa kazi achana na wanafiki wa bays wasio wapendea wenzao kheri mim kazihi nimeiyerewa sana mashaallah

firdausmasinge
Автор

Maashaallah mdogo wangu kazi Kubwa mno Allah akusimamie vyema kwny kazi zako na akulinde na Shari za mahasidi wanapohusudu

mwajumaissa
Автор

Wallh ii qaswida ninavyo ipnd allh shaid yang ni mambo yaleyale tuna ishi nayo, allh hakujaze kil la kher Aziz shauq kwa kutulumbusha mema🙏

mymunerabdul
Автор

Hakika alama za mnafiki ni tatu umeimba

nasratmohamed