MBOWE NA WATOTO WAKE KWENYE MAANDAMANO 'NIMEKUJA NA WANANGU'

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Revolution ni maendeleo pambanen katki haki tunaibiwa

ladislausmoris
Автор

Mkimaliza mtatuambia tuendelee na yanayofuata 😅😅😅

mariamukendrick
Автор

TUMSHKURU MAGUFULI KUTUPA UJASIRI WATZ MANA BEFORE HATUKUWAHI KUWA STRONG TZ 😂

atutweve
Автор

mshambiwa ni mandamano ya amani😀😀sasa kwanini asije na family

simonitaagesti
Автор

Haya njie mazuzu mbowe yuko na watoto wake maandamano ni amani siyo vurugu kama mfisjem wanavyowadanganya peoplesss

ToureMassawe
Автор

Hamna KAZI ya kufanya mama kamata hao peleka kizi mkazi wakalimr

kelvinimunishi
Автор

Watanzania ni watu wa ajabu sana their very unagreatfull.🎉

aliyageorge
Автор

Hata ungukuwaweye ungekujanao maana walishakubaliana na serekali na ulinzi wakapewa sasa ungeogopanini

AbdulaziziPacha
Автор

Haya Mbowe na wanawe hao hapo maana ooh! Waandamane na watoto wake!

mwlpierre
Автор

Watoto hawajui wamepelekewa nn kwenye ayo maandamano hawajui nini maudhui ya ayo maanda mano

SalimSimon
Автор

Bora umekuja na familia. Lissu na Lema wamewaficha watoto wao Ulaya

MohammedAwadh-gqsi
Автор

Amekuja na watoto hayo ni matembezi ya Amani ingekua maandamano yenyewe usingeona mtu hapo police nao wapo kuandamana biashala zinaenderea vizuri hongera Rais Samia wewe ni jembe

nikodemmwahangila
Автор

Sasa nyie Kwa akili ZENU mnadhani MBOWE na wanae ni WALALAHOI!! WAO WANAKULA BATA ULAYA HUKO NA MSIDHANI ETI WAMESOMA SHULE ZENU ZA KAYUMBA...HAO NI ULAYA TU...HIVYO MWENYEKITI ANAPAMBANA AZIDI KILA VZR NA FAMILIA YAKE NA SIO NYIE WAFUATA MKUMBO

TwahirBurhan
Автор

Mboye pesa za misaada ya Wazungu pia unakula na wanao

hassanabdala
Автор

Wabongo Kweli wajinga ukiwaangalia Tu unaona wanakula vizuri halafu anatangaza Maisha magumu duh tutasindikiza Sana

adiaygo