HASHIM IBWE: SITASAHAU MECHI 8 ZA AZAM BILA KUPOTEZA/ AHMED ALLY, ALLY KAMWE WANAFANYA VIZURI

preview_player
Показать описание
Woow! Mwaka 2022 umekuwa na Matukio Makubwa ya kimichezo ambayo yamegusa Hisia za Mashabiki wengi wa kandanda Nchini na Nje ya Nchi.

Mara zote Ukubwa wa Matukio hupimwa kwa Mtazamo binafsi wa mtu, lakini mengine yanagusa Jamii nzima ya Wanamichezo na huwa na Mvuto wa kipekee.

Mpenja TV, wakati huu Mwaka 2022 unafikia ukingoni, Tunakuletea Wadau mbalimbali wa Michezo wakieleza Matukio Makubwa yaliyogonga vichwa vya Habari na watayakumbuka zaidi kwa mwaka 2022….Endelea kukaa nasi.

Kheri ya Krismasi na Mwaka Mpya!!
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mechi nane unapiga kelele Yanga kakusimamishia hapo anza kuhesabu za Yanga sasa. 🤓🤓🤓

eddyrich.
Автор

Mtu kavaa miwan kisha anaanza kubana pua kujisifu kushinda mechi 8??? Zimekusaidia nini timu inapambana nafasi ya nne??

kizumbimalegi
join shbcf.ru