KISIWA CHA KIPEKEE DUNIANI, LAKINI HUU NDIO MTIHANI ULIOPO

preview_player
Показать описание
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.

#Habari #KtvTzOnline

Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE

cc: Sadia Rashid
cc: Masoud Maganga

Video Zingine:
Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
- Ali Kiba akiwa Oman

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Alhamdulillaah shukraan zoteee ni za mwenyezimngu

faridahalwaily
Автор

Kweli inasikitisha. Nawaombea kwa uwezo wa Allah mtajaaliwa madaktari wa kutosha (Wakunga )bi idhnillah 🙏🏼

shammoha
Автор

Allah awasaidie na awape subra InshAllah heri

faizabaishe
Автор

Allah ataleta kher Inshaallah mtafanikiwa tuu hakuna lishindikanalo kwa Allah

khamiskhamis
Автор

Washirikisheni na wakunga wa asili wawepo hapo hospital sio nyumbani

mariamfaki
Автор

Allah dio mlezi na mfunguaj hao wengine wasumbufu wa dunia tu

fatmaaly
Автор

Watumbatu wapo tele wamesoma lakini wakisha maliza hawataki kurudi kwao kusaidia jamaa zao

khalifanassor
Автор

Nyie kila mwaka shule zenu ni za mwisho kitaifa jiongezeni wasomesheni watoto ili mpate madactarii

erickkimario
Автор

Daha wanatabu yaani matatiz yakizidi Wäende mpaka kivunge

majidmousa
Автор

madaktr wakipelekw hawawez kukaa kw furaha maana nyumb wanazopew km makaburi.huwez kumkut dktr kufany kaz kw furah b kw ufabisi

alizahranmohd
join shbcf.ru