MREMBO AMWAGA MACHOZI BAADA YA KUAMBIWA UKWELI NA MR RIGHT

preview_player
Показать описание
Kwa story zaidi za maisha, burudani, vipindi na za kila siku tufuatilie kupitia Mitandao ya kijamii hii :

ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

RATIBA ZA VIPINDI VYETU

THE BANTU JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 10 JIONI
SPOTLIGHT JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 12 JIONI
TWENDE JIKONI KILA IJUMAA KUANZIA SAA 1:30 JIONI
FASHIONISTA KILA JUMAPILI SAA 1 USIKU
MR RIGHT SHOW KILA JUMAMOSI SAA 4 USIKU
KIU SERIES JUMATATU HADI IJUMAA SAA2:30 USIKU
THE SPIRIT NA IBADA LIVE KILA JUMAPILI KUANZIA SAA 4 ASUBUHI
MOVIE NIGHT NI KUANZIA JUMATANO MPAKA IJUMAA KUANZIA SAA NNE USIKU NA MARUDIO MCHANA KILA SIKU
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Safi sana lulu kweli wadada tumezidi huyo kaka kiboko yao

NeemaSamson-tipc
Автор

Kaka chukua maua yako💐💐 wadada wengi wanaangilia hela

naryzmalilo
Автор

Tumezidi wanawake.. Lichokutana nacho alistahili kabisa hongera broo

AishaMasoud-tjsl
Автор

Dada kakutana na kijana mwenye kiburi cha promax na dharau ya kihehe😂😂😂

jalanbuali
Автор

Huyu kaka ni very bright nimeipenda, , , afu udogo wa UMRI sio kubomoa jitu linawez likawa kubwaa na lisiwe na akili afu na huo mtindo wa pesa natak pesa pumbavu inabid upambane sio mwanaume akupe Kila kitu

ekwilyq
Автор

For the first time nmeona Mr right akiambiwa warembo ukwel...wanachagua sana.kimewaramba

brubtsn
Автор

Thank you lulu diva mwanamke 50 na mume 50 maisha yaendeleee maanake utamu wanaskia wote, hizi pesa wake wanafuata sana zitawafikisha jehanamu bafuni, replying from Saudi Arabia but am a kenyan

metrineomega
Автор

Nimeipenda hiyo wadada wanapenda hela amekoma kiranga chake.

tekixmf
Автор

Safi Sana wanawake wamezidi kufanya wanaume kitega uchumi. Kijana amemweza Na mwanake amethibitisha tabia yake mbele Ya ume kipaombele chake ni Pesa sio ndoa. Na asipo badilika Hii itakua mkosi atakosa vyote Pesa Na ndoa ataskia tu Kwa majirani

mercypeter
Автор

safi sana umetuwakilisha vyema sana unguja na tanga

tareqnahad-gdmb
Автор

We dada sidhani kama utarudia tena kusimama hapo na kuuliza maswali ya kijinga hilo ni funzo kubwa sana, kaka hongera sana

NeemaSamson-tipc
Автор

Jaman video video jmn fupi alafu nzur huyo kaka apewe hata gari la ushindi 😂°°

felicianboss
Автор

Lulu acha uongo huyo hataki mume anataka kuchuna hataki mume huyo anataka kuchuma akwendeee kwanza sio mzuri hana maajabu chefu😏😏😏😏

ylpzeyr
Автор

Mtu mwenyewe huna viwango arafu unataka kujua kiwango cha pesa cha mwnzako

frediemary
Автор

Pesa nizake mm nataka mapenz kutoka moyon pesa kitu gan bhana❤️❤️❤️

hellenthomas
Автор

Igeni kwa wakenya mbona wanaweka ndefu yani nzima nzima, sio visekunde hata kama ni kutafuta views sio hivo asee!!!, wekeni nzima ya siku kama ni lisaa ni bora mligawanye Mara mbili kuliko upuuzi huu 🇹🇿

Iddosbinchonde
Автор

Sf sn kaka wamezidi Hao hawtafuti mwnaume bl wnatafuta mwnaume mwenye pesa

nishaabdula
Автор

Mtu mwenyewe hata nywel Zak hazifiki 30k MH midada ya hivi .yupo ladh hata amwombee mama mkwe wake afe ili ahudumiwe pekeake MH unaingiza bei gani ..fuck she fuck it 😡😡

RithaGeorge-eqir
Автор

kilanga koma sura yenyewe mbovu arafu unataka maokoto rudi street wakakubandue wazee wakujiset traffic light

Mpakauseme
Автор

Na ubora wa mume sio kipato chake, anaweza akawa nakipato kizuri na asiwe mume bora

doricakisenya