NYUMBANI MWA BWANA

preview_player
Показать описание
Kwaya ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, Kutoka Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu - Nangwa, Jimbo Katoliki la Mbulu. Wanakukaribisha kusikiliza na kutazama wimbo huu uitwao Nyumbani Mwa Bwana. Wimbo huu ni Utunzi wake Ray Ufunguo na Umerekodiwa katika studio za RAJO Productions.

'Nalifurahi waliponiambia na twende nyumbani mwa Bwana'

Kinanda Kimechezwa naye Gabriel Clemece Mkude.
#rayufunguo #rajoproductions
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hongera nyingi kwa kwaya na production team kwa ujumla, ni zamu ya jimbo la Mbulu sasa🔥🔥🔥

kwayayafamiliatakatifukate
Автор

Kwa mara nyingine tumeandaliwa chakula kitamu, nasi tuko tayari kukipokea.😊Hongereni sana wanakwaya wa moyo mtakatifu wa Yesu kwa kazi hii extraordinary.👏👏Keep bringing us this good work RAJO Productions ili mioyo yetu iendelee kupata tiba. Mungu akupe maisha marefu uendelee na kazi hii nzuri maana tunajifunza mengi sana kutoka kwa kazi unazozifanya.🙏🙏🙏

anastaciamuema
Автор

Kwakweli inapendeza na imetulia tafakari nzito unapoelekea nyumba ya Mwenyezi Mungu(Kanisani) tumejiandaaje na timiliko is furaha yetu sote. Hongera Ray matukio yapo vizuri.

rosemarymlay
Автор

Mmetisha sana nimewakubali, kama umewakubali gonga 100

anatolikalisti
Автор

Hongereni sana jamani Mungu awabariki sana Nasisi tuko njiani karibuni Bashnet Kwa jumbilei ya miaka 50

kwayaviwawaparokiayabashne
Автор

Rajo mfano wa Kuigwa.. anauheshimisha muziki wetu wa Kiroma! 🙏

anordtanzania
Автор

Kweli tunapaswa kufurahia tunapo enda nyumbani mwa Bwana. Najivunia kuwa mkatoliki. Wimbo mtamu uliopangwa ukapangika vyema. Mbarikiwe waimbaji

geoffreywairimu
Автор

No day passes by without me listening to this beautiful song. I play it in my car until i get to my destination. God bless your voices dear ones.

aminacandy
Автор

Kila wakati nasikia tu wakisema nyumbani mwa bwana ya ray iko juu na kweli😮😊😊 ihad rewatch amd confirm

MabukaDouglas
Автор

Rajo ni koboko Yao, Rajo can't disappoint, hongereni sana🔥🔥

OGT
Автор

Hongereni sana wana nangwa na Rajo production kwa kazi nzuri hakika sifa na utukufu nikwake Mungu👏👏👏😯

imanuelijohn
Автор

Hongeni Sana mungu azidi kuwatia nguvu mwendelee na moyo huo huo, moyo mt wa yesu ❤️❤️❤️

adelinabombo
Автор

Utamu uko hapa jamani!Hongereni Kwa wimbo mtamu kiasi hiki, Mungu awabariki

lovinevallary
Автор

Hii n kali. Mmeamua kuchukua uniform ya primary. This is just amazing.

mugitaelvo
Автор

Wimbo huu unasisimua kweli, Hongereni Mungu awabariki

lovinevallary
Автор

I have listened and myself composed songs, but this one, is top notch and is almost to perfection! including the dancing..I listened it the whole day....I really love the Alto>>>>Thanks for great work and be blessed

paulonkundi
Автор

Angelic voices, great production. Kweli na twende nyumbani mwa Bwana. A great loop for whole day listening.

evelynwanjiru
Автор

May the almighty God azidi kuwabariki pamoja na kipaji chenu, ,,i lyk dhat❤❤❤❤, , y

mutheriannah
Автор

Beautiful, it's the Alto for me.

nyambura_kamau
Автор

Kazi safi... the composition is tops, arrangement is quality and the message is inspiring. Thank you.

jepkemei