Tommy Flavour feat Vanillah - Whine 4 me {Track No.10}

preview_player
Показать описание
The meaning behind the album title "Heir To The Throne."
it suggests that the Tommy flavour sees himself as the next in line to take over and dominate their respective music genre or industry musically.

The album title also implies a sense of responsibility and pressure to live up to the expectations set by those who came before him and the trust fans have built on him but also It suggests a desire to leave a lasting impact and legacy in the music industry

“Heir To The Throne” Being a powerful and confident statement on oneself abilities and music talent with believing on the potential to be a game changer and become an icon in the current & next generation of music. This is a beginning of the a timeless journey with faith and hope to see a lot being achieved. When you listen to this album just know Tommy flavour is destined to Greatness.

Listen to Tommy Flavour on Digital Streaming:

Follow Tommy Flavour on Social Media:

Written & Performed by: Tommy Flavour
+For More Information Booking Tommy Flavour:

©2023 Kings Music Records.All Rights Reserved.

#TommyFlavour #HeirToTheAlbum
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Sweet melodies Kings music 👑❤❤❤Young King feat. Vanillah 🔥🔥🔥🔥 Keep up the good work 🌹🌹🌹🌹🌹

nanarizikisukari
Автор

Mimi apa nina malalamiko tommy haiwezekani nyimbo kubwa kama hii ushindwe kuitolea video hapana mimi ni shabiki wa king's music ni shabiki yako na ni shabiki wa mziki mzuri lifanyie kazi hili usije ukawa kama boss wako tulisha mwambia atoe video my everything mpaka leo kimya.

SwahiliAmbasador
Автор

Nice song and beauty melody
I like it

Goldsule
Автор

jamaaa. we unajua Sana mungu akuongoze kenye kazi zako

AntonyAntony-qr
Автор

We need the video of this song fast you kill it guys🔥🔥🔥🔥🔥

arleneilunga
Автор

Kalii hiyo, mulipewaga sauti nzuri tena nyororo

InnocentKombi
Автор

Toa chupa mzee ngoma ya kwenda Tommy vs vanilla sio poa.

seifchui
Автор

Lyrically and sweet melancholy, I love this collaboration akh❤🎉

patrovincoelisjunior
Автор

Ht me nashangaaa hii ngoma kubwa mno wap video ishindwe Toka nn kikwazo tommy unatunyima raha sana mashabiki zako etii

beatboy
Автор

Unyama sema hii ngoma mtufanyie mpango mtupe chupa lake

tozzykiller-nymj
Автор

Ngoma yangu pendwa hii hapa @tommyflavor #whine4me hiii ngoma ni Tommy Fanya kitu mbaya yani namaanisha video kabisa

bakarylyimo
Автор

This is not just a song, its a Banger 🔥🔥🔥🔥🔥💯💯. Enjoying this good music from 254🇰🇪🇰🇪 MOMBASA KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

williemzazi
Автор

Hiy Ngoma kali xan video ilikuwa inatak

SaidiAyee-giov
Автор

Tommy bru iyi nyimbo tuna taka video in 5days please kawaida iyi track ndio ilitakiwa kuwa ya kwaza kutoka….I’m very sorry for my Swahili…all the way from South Africa 🇿🇦

mimokassim
Автор

Hapa #vanilla alichokifanya kama #nyashiscky

bakarylyimo
Автор

#tommyflaver hiii inahitaji video kubwaaa

bakarylyimo
Автор

Dar prince byeee byeee we have vanilla the magic ✨✨

darprprime