KIMENUKA DIAMOND AMJIBU ZUCHU AFUNGUKA SABABU YA KUACHANA KWAO AMEZIDI GUBU MNIO MBEE TU SIPO SAWA

preview_player
Показать описание
#diamondplatnumz #tanashadonna #zuchu #esmaplatnumz #Kamwambie #sarah #priscakisuda #jumalokole #mashalove #mamadangote #harmonize #POSHQUEEN

KIMENUKA DIAMOND AMCHOKA ZUCHU AFUNGUKA SABABU YA KUACHANA KWAO AMEZIDI GUBU MNIO MBEE TU SIPO SAWA

ZUCHU AWASHA MOTO KWA DIAMOND WASAFI NA FAMILIA NZIMA MNIKOME HADI MA EX MNANISEMA HARMONIZE AMCHEKA

NOMA!!! ZUCHU ATEMA NYONGO KISA DIAMOND PLATINUMZ NA SARAH WAKAMWAMBIA AFUNGUKA MAZITO YA WASAFI

ZUCHU Amnyea DIAMOND "Ananichafua/AnatumiaMAADUI zangu/Nimechoka

Zuchu afunguka mazito anayofanyiwa na Diamond,awachana Wasafi " mnaniongelea kumpamba Boss"

SARAH WA DIAMOND AELEZEA JINSI DIAMOND
ALIVYOMPIGA TUKIO ZITO

ZUCHU NAYACHUKIA MAPENZI NAJUTA KUA NA DIAMOND SIRUDII TENA MAKOSA NISHA MOVE ON

ZUCHU AMSAHAU DIAMOND NDIO NISHA KUACHA HUTO NIGUSA TENA MWILI WANGU AMOVE ON AANZA MAISHA MAPYA

ZUCHU LABDA NIFE AGOMA KURUDIANA NA DIAMOND MNISAHAU AFANYA FUJO KUBWA AMCHANA ESMA WIFI MNAFKI WEWE

ZUCHU APIGIWA MAGOTI NA FAMILIA YA DIAMOND RUDI NYUMBANI NA MABEGI YAKO MSAMEHE ARUDII TENA SARAH NI EX TU

CHANZO CHA ZUCHU KUONDOKA KWA DIAMOND NA NGUO ZAKE NA MABEGI WANAWAKE HAWA WATATU WAMPIGA MATUKIO TANASHA SARAH PRISCA

KIMENUKA ZUCHU ACHUKUA MABEGI YAKE AHAMA KWA DIAMOND WAACHANA TENA SARAH CHANZO ESMA AMBEMBELEZA RUDI YULE NI EX TU

ZUCHU NA DIAMOND WAACHANA ARUDIANA NA TANASHA VIDEO WAKIWA PAMOJA JANA USIKU ZAVUJA PENZI MOTO

KIMENUKA ZUCHU ACHANGANYIKIWA DIAMOND AKUMBATIANA NA EX WAKE SARAH ALIE MUIMBIA KAMWAMBIE AMSIFIA KITOTO KIBICHI NAKIPENDA

SARAH WA DIAMOND MWANAMKE WAKE WA KWANZA AFUNGUKA KUKUMBATIANA ALINIIM BIA KAMWAMBIE NI MJINGA KWENYE MAPENZI NAMPENDA BADO

MWANAMKE WA KWANZA WA DIAMOND PLATNUM NDIO HUYU HAPA ,ALIYEIMBIWA "KAMWAMBIE

SARAH WA DIAMOND AFUNGUKA ALIVYOPENDWA NA DIAMOND NAKUOSHI PAMOJA MIMI NI WA KWANZA SIO WEMA SEPETU

DIAMOND ampandisha MPENZI wake wa ZAMANI aliemuimbia (NENDA KAMWAMBIE)/UTAPENDA alivyoimba LIVE

DIAMOND AMPANDISHA MWANAMKE WAKE WA ZAMANI AMKUMBATIA AKUMBUSHA YA NYUMA ALINITESA SANA NILIMWIMBIA

Huyu ndiye SARAH aliyemkataa DIAMOND enzi za UMASIKINI na kuimbiwa KAMWAMBIE,amwaga MACHOZI Jukwaani

DIAMOND AMTAMBULISHA SARAH X ALIYEMKATAA MIAKA 15 ILOPITA NA KUIMBA KAMWAMBIE 'NILIMPENDA SANA"

YATAPITA ya DIAMOND yamkumbusha ESMA jinsi kaka yake alivyoachwa na SARAH na kubaki kichwa tu

DIAMOND AMKUMBUKA EX WAKE ALIYEMUUMIZA, ANAITWA SARAH, AIMBA WIMBO KUMUHUSU - "YATAPITA"

MFAHAMU SARAH ALIEMTESA STAA DIAMOND KIMAPENZI NA KUPELEKEA KUKUGUA AKILI "Zuchu Apata Shughuli"

PENZI JIPYA ZUCHU AMWAGA MACHOZI PRISCA KISUDA RAFIKI WA ESMA NA DIAMOND WASHINDWA KUFICHA HISIA ZAO

MAMA DANGOTE NA UNCLE SHAMTE WARUDIANA DIAMOND AMKUBATIA KWA FURAHA WAFURAHI PAMOJA

ZUCHU AITWA NYUMBANI KWAO KIKAO KIZITO NA MAMA YAKE KHADIJA KOPA USIISHI KWA DIAMOND BILA NDOA

ZUCHU AKATAA KUBEBA MIMBA YA DIAMOND AMCHANA BILA UOGA BILA NDOA BABA SAHAU SIKUACHI NIOE NIKUZALIE

VIDEO ZUCHU AKIWA NYUMBANI KWA DIAMOND WANAISHI PAMOJA TAZAMA WANAVYO PENDANA APOKEA TUZO

ZUCHU AMCHANA DIAMOND MBELE YA KHADIJA KOPA MAMA YAKE UTANIOA UNANITUMIA TU HII HAPA TAREHE YA NDOA

ZUCHU AMCHANGANYA DIAMOND PANGANI AMVALIA SHANGA KIUNONI AZIONYESHA KWEUPE NAMCHANGANYA KWA MAHABA

ZUCHU ASHINDWA KUBEBWA NA DIAMOND AMUOGOPA KHADIJA KOPA TAZAMA KINACHO ENDELEA PANGANI TANGA LEO

WALICHO FANYA ZUCHU NA DIAMOND MBELE YA KHADIJA KOPA PANGANI TANGA WASHINDWA JIZUIA MAPENZI YAO

ZUCHU AMCHANGANYA DIAMOND KWA MAHABA YAKE AMVALIA KIKUKU MGUUNI AMPA MAPENZI YA ZANZIBAR NASHINDWAJE KUKUOA SASA

ZUCHU NA DIAMOND WAFANYA DUA NZITO KUELEKEA KWENYE NDOA YAO KHADIJA KOPA MAMA DANGOTE WAWAPA BARAKA

ZUCHU ANAUMWA PICHA HII YAWAUMIZA WENGI WAMUOMBEA APONE HARAKA DIAMOND AENDA MBIO MBIO KUMPA FARAJA

ZUCHU APOKELEWA NYUMBANI KWA DIAMOND MAMA DANGOTE AMPA USHAURI MZITO BAADA YA KUTOLEWA POSA MKWE UYO

ZUCHU APOKELEWA VIZURI NYUMBANI KWA DIAMOND MAMA DANGOTE AMPA USHAURI MZITO BAADA YA KUTOLEWA POSA KARIBU KWENYE FAMILIA YETU

ZUCHU ARUDI NYUMBANI KWA DIAMOND NILI KU MISS SANA AMKUMBATIA KWA FURAHA ASANTE KWA KUNITOLEA POSA

NDOA YA ZUCHU NA DIAMOND WATOTO WAKE WOTE KUSHUHUDUA NASEEB JR ATUA NYUMBANI TIFFA NA NILLAN WAPO NJIANI KULA EID PAMOJA

ZUCHU ATOLEWA MAHARI AMSHUKURU DIAMOND HARUSI YAPANGWA MKE MTARAJIWA

#mangekimambi #shakibcham #zarithebosslady #dylan #hamisamobetto #mangekimambi #zuchu #allywhiteparty #fahyvanny #kofia #wasafifestival #dodoma #tanashadonna #tiffadangote #nillan #southafrica #zanzibar #southafrica #zari #shakibcham #wasafitv #WAMEACHANA

DIAMOND HARMONIZE NA RAYVANNY WAKUTANA PAMOJA WAFANYA KIKAO KIZITO WAUNGANA TENA TUNA JAMBO LETU

ZUCHU AMWAGIWA SIFA NA DIAMOND ASHIKA NAMBA MOJA TANZANIA MWANAMKE BORA WA KUOA NA MZURI AFRICA

ZUCHU AMJIBU ZARI NAKUPENDA PIA MAMA TEE DIAMOND AFURAHIA KUWAPATANISHA SISI NI FAMILIA

#mangekimambi #gigymoney #aaliyah #tanashadonna #rahma #dvoice

#diamondplatnumz
#wasafibet
#BINGWALAMTAA
#matukioonlinetv
#dazamedia

#wasafi #wasafitv #wasafifm

#WCB #ZUCHU
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Waongoo, kesho apo tutaonaa watu viwanja wanakumbatiana Kama wapo kitamdan, Wazinifuu tuu kuzini wamekufanya n starehe had mitandaoni

nkdpcvc
Автор

Anakiona kila siku unamdhalilisha diamond akuombe msamahaa .ahaaa siyo powa kabisa mama dagote uwe makini hapo hajaolewa akiolewa itakuaje .jamani tooo much

MarthaBura-orfe
Автор

Tatizo zuchu hajiamin utagombana na wangapi wew kwako kila mtu anamtanga mond

wosbdve
Автор

Mwambino akikuchoka. Anakupiga matukio. Xuchu sanuka mmaa😅😅

OmanOman-bxdu
Автор

Diamond asiombe msamaha ni kujizalilisha na unampa jeur zuchu anajiona anapendwa sana yy akuna mwengine kama yy 😊😊😊

jndowdf
Автор

Diamond ni mnafiki wanawake wote ni wabaya kwake laa yy ndio ana tabia mbaya

mohammadoman
Автор

Never giver up great things take time by me😢

hozmljy
Автор

Nasibu hatari aisee! Yani Tanzania nzima imesimama kwaajili ya mahusiano yake daaah!! Kweli Ni SIMBA!!!

jaylazorschannel
Автор

Mbona ameludi: Zuchu jari mxik ndio cha msingi na sekondari. Achana na habari ya mapenzi na Mond. Anakupotozea muda.

aminaomary
Автор

Bwana mtangazaji " "kukasilika" ndio nini?😊

Brunn-mhbq
Автор

Mtangazaji unaongea sanaa! Nenda direct Kwa point!

jaylazorschannel
Автор

Siamini kama ni kiki au la Zuchu usiwe mjinga kiasi hicho utakuja ujutia ulitakiwa ukae Diamond kwa ajili ya kazi na sasa utakuja ujute usiwe na hasira za haraka kiasi hicho kaa chini ujifikiria unaweza fikiri umefika popote la hasha bado unasafari ndefu na usipende kugombana na watu wote kwa sababu ya Mondi huo ni ujinga pia unaonekana wewe maisha uyajui na hao wanakushauri watakucheka ujinga

marciabrown
Автор

Kila mtu ashike zake.Kwa nini kiwekana roho juu?

aminaomary
Автор

Akwendere uko mtoto wa kiislam mzima wakutulia akapata mume akolewa akastrika anakuwa kama hakutoka kwenye mifupa ya kiislamu hakuna dini inoruhusu zinaaa akwendere uko ajistri asihadaike na dunia kujishusha hadhi bure mtoto wa kiislam duniani ni mapito ukumbusho ndugu pengine umehafilika

wfwktot
Автор

Niliipenda xana xana couple ya diamond na zuchu Ila bc tena a chana nae tena bc

bxwumqh
Автор

Hapo zuchu harudi akirudi atasema ukitaka nirudi unioe ndio nitarudi na mutasikia manake anatamani sana kuolewa na bwana diamond

zainabhussein
Автор

DIAMOND HUNA ADABU HIVI ULIVYOFANYA AKIFANYA ZUCHU SI UNGEMTUNGIA WIMBO ACHA HIZO

muzneali
Автор

Simba kuna warembo wengi wanakutamani tena wanawake wenye mashepu yao zuchu anakuzarau sana wewe ni mwanaume lazima uwe na maamuzi .sijaona kosa lako kwani ulikuwa kazini.pale.tunachoka na story za zuchu kila siku

MarthaBura-orfe
Автор

Diamond a expliqué qu'il ya eu une dispute entre zuchu et lui, qu'elle est partie en dans sa famille, , c'est pas une histoire de sarah !!!

sylviemokosery
Автор

Kwani Zuchu ni nani! hakuona warembo waliyomzidi wakiachwa? Mondi yupo kazini hana muda na demu yeye anatengeneza pesa.

nsiamasawe