Msanii JK comedian alivyoonyesha uwezo wa kuwaigiaza wachekeshaji Pembe na Senga

preview_player
Показать описание
JK Comedian nimsanii ambaye amebarikiwa kipaji cha kuweza kuigiza sauti za watu mbalimbali wakiwemo mastaa wa Tanzania, leo katuonyesha ubora wake kwa kuziigiza sauti za wachekeshaji wa long time Pembe na Senga
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Yaan we kaka unakipaji sio mchezo. Unaongeka kabisa kama wenyewe akina pembe na senga...big up

marychiwowa
Автор

jamani millard nakubali sana kazi yako bt hata huyo jamaa ni noma wengine wakasome kwanza kazi na wenyewe bhana.hahahaha lov sana

jaitonmis
Автор

kipaji cha hali ya juu..he got a real talent

justinejulius
Автор

hahahahahahahaa huyu jamaa noma steve nyerere akasome

idavastaborn
Автор

kama kawameza walah. uyu jamaa noma saaaana.

sabinjiji
Автор

hehehe .. hii ni kali .. this guy is talented .. hes suppose to be in Churchill show Kenya

shineyhassan
Автор

Broooo wewe ni komaaa una kipaji kizur sana

renatusleonard
Автор

haha banana haha haha ameweza zaid kuiga saut ya senga kuliko pembe

ParapandaLutheranChoir
Автор

au waziri mkuu wa SHILAWADU. jamaa katisha sana 👊💪👊

shemejiwaxxl
Автор

km ni kipaji basi bro unacho sijawah ona toka nizaliwe

supersub
Автор

Sijawahi ona ila ww ni kiboko unajua mpaka unakela

martinvavatu