Lulu Diva - Hapa (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Lulu Diva - Hapa (Official Video)

Follow Lulu Diva
Youtube: / @LuluDiva
Facebook: / starrayra
Instagram: / @Luludivatz
TikTok: / Lulu Diva

#LuluDiva. #Hapa. #Smilesasa
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Lulu diva katisha naomba like zangu mim number 1 ❤❤

WizDancer-decc
Автор

Video isifikie mangee duuuu ila mange😱😱kiboko ya displine ya wasanii, Ngoma Kali naombeni like jamn na Mimi Leo wote

ColinsNgabani
Автор

Nakukubali san lulu diva asa kwenye jua kali una weza mpaka unaweza tena mandogo aunt....

LilividaLaulenti
Автор

Wale wa tiktok mpo wapi vipenzi vyangu ❤😂❤❤❤❤❤

JonathanErick-oo
Автор

Mrembo wa mama nakukubari san ndug yangu na hiyo make up sas ndo unyama yani umenoga

sophiarashid
Автор

Kali sana . Video amazing. Nyimbo wagwan

Celebritycinematographer
Автор

Penda san dad divan umetufikishia ujumbe ❤❤❤❤❤

ReginaJumanne
Автор

Who else is from tiktok, , much ❤ to lulu Diva, , let's hit 10m guys🙏

FranklineOmwenga-dx
Автор

Woo namupendaga bure huyu mdada ❤❤❤🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂

SofiaOjiolo
Автор

Yaaa komaaa kadada mpaka laha kwenye huu wimbo❤❤❤❤

AUGENSYLIVAND-rqhz
Автор

❤❤ Idris sulutani kafanya nikimbie kuangalia hii nyimbo🎉🎉

rozaliarwezaula
Автор

Nyimbo nzurii sana wale mayatima wamapenzi mtupishe

hassanseif
Автор

This is more than a song ... Spectacular

Visama_official
Автор

❤❤mob love from kenyaa ...divan ameweza kwa hii nyimbo yake ❤❤i always like her music videos they are always clear

AndrewMwandau
Автор

Nyie watu munapendn kweli gonja likes kwa kipara

AminaMohammed-uj
Автор

Maex watajuwa wajui aki zuchu wewe more love

EkalSheila-ex