TAZAMA MUINDONESIA ALIVYOSOMA QURAN TAJWEED NA KUIBUKA MSHINDI, QARI SYAMSURI | MASJID IDRISSA

preview_player
Показать описание
TAZAMA MUINDONESIA ALIVYOSOMA QURAN TAJWEED NA KUIBUKA MSHINDI, QARI SYAMSURI | MASJID IDRISSA

Follow Us On:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mashaallah mashaallah tabarak Rahman najivunia dini yangu anasoma hadi nywele zinasimama mashaallah tabarak Rahman

welcomeorange
Автор

Naaam!! Rabbanaa tujaalie waislamu wote duniani tuwe watiifu kwako yarab Amin!!🙏🙏🤲🤲🇹🇿🇹🇿

husseiniddy
Автор

Masha Allah, Tabarak Allah May Allah S.W Bless you and your Family and bestow us all the highest level in Jannatul Firdaus...Amiin

Sameer-cdyn
Автор

Mashaallah Allah amzidishie kheri nyingi.
Hadi waumini walitaka arudie.🇹🇿

kitukakijunga
Автор

Allahu Akbar, perwakilan Indonesia yg terbaik ust Syamsuri firdaus😍😍😘🇮🇩

wullanmen
Автор

Mashaalllah tabarakaallah am proud to be a Muslim ❤❤❤and the sweet of Quran ❤❤❤

rahmasalim
Автор

ما شا الله بارك الله فيك وجزاك الله خير يا أستاذ

OmarHaji-xykl
Автор

Ma sha Allah siamsuri Firdausi nakupenda kwa ajili ya Allah I disire one day I meet with inshaallah

jamalnamkuna
Автор

Ma Sha Allah, may Allah bless us and bless the Muslim world.

alisheemaka
Автор

Maa Sya Allah Saikh Samsuri Firdaus Indonesia 🇮🇩🇮🇩🇮🇩🤍🤍🤍

kangucep
Автор

God bless the late quri Abdulbassit. We are tracing his path. This video is pure evidence. Bravo to him and he to be blessed, Aamin

rashidissa
Автор

Mashallah mungu akujaalie ufike mbal zaid

FauziaMohd-wynx
Автор

Masa allah
Alhamdulillah. Ya allah❤❤🇮🇩🇮🇩

BerkelanaBerkelana
Автор

nachukia kisomo hiki kukisikiliza maana wengi hapa wanashangilia na kucheka .badala yakutafakar maneno haya ya mtukufu alotuumba asiye na kasoro naye ni mkarimu na maneno yake ni ya watu kutulia na kuyanyenyekea na kulia na yanapaswa yazingatiwe zaid ujumbe wake na sio sauti. Hii sio kauli ya mshairi balini uteremsho kutoka kwa Allah mola wa ulimwengu wote na ni ametakasika na ana rehma kwawaja wake
Hivi kwa maneno haya matukufu mwaona ajabu na mnacheka wala hamlii. Hakika tunapaswa kuwa watulivu na kusikiza kwa adabu zote na kusujudu panapotakiwa

canoksancomprehensivelearn
Автор

Maashallah marhabaa twayyeb Ni hatari Sana iyo daah

mohdhamduhaji
Автор

Baraqa llahu fiik, wahafidh llahu mina suui, wajaalhuma husnul al hatima.

TawfiqHaji
Автор

Namuomba MOLA Azidi kumpumzisha mahala p£ma p£poni
Mwalimu wanGu wa #TAJWEED toka ALMADRASATUL#Iitiswaam Sh£kh wanGu #Ahmad_bin_Omari_Shirazi🙏🙏🙏🙏🙏






..

janaakimu
Автор

Takbir Allah Akbar, Allah Akbar, Mashallah

hawashabani