Diamond awachana Wanaijeria ‘Wamejaa kwenye mfumo, hawawezi kufanya huu muziki’

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Diamond anapambana na wanaigeria na huku bongo wanapamban na Diamond Mungu ampe nguvu dah

dullahbatuf
Автор

Diamond aache kushindana nawanaija ata wenye amapiano wa south wameshindwa, diamond namkubali sana lakini tatizo kidole kimoja akivunji chawa

niyonkuruasman
Автор

Kiufupi Platnumz mwenyewe haamini kama ndiyo ngoma yake imeenda hivyo. Tumpe maua yake, kapambana sana.

VipodoziKariakoo
Автор

Respect sanaaa diamond platnamz 🙏🙏🙏🔥🔥💪💪

chusseboywcb
Автор

Kama haujakua na watu wenu mbele ni vigumu kutoboa

barrynzeyimana
Автор

Wabahatishaji ndo huwa wanajitapa, wenzako Wana hit Kali miaka yote we Leo tu unawavimbia, wanigeria huwawezi miaka mia bro alafu hawakuwazi.Nakupa Rema tu na humuwezi.

bennyngoye
Автор

Yaan Nigeria imesha munyima Diamond raha sana, haezi pita bila kuongelea wanaijeria, angekua na mamlaka yakuondoa Nigeria kwenye ramani ya Africa kama kashaiondoa kitambo tu bali hana lakufanya...

hopechidera
Автор

Kinachowabeba Nigeria ni
1. Population yao wapo zaidi ya 230m sisi tupo 60m karibu mara nne hivyo nusu ya nchi wakikusapoti unaenda mbali zaidi
2.Lugha ya kiingereza,
3.Wana link kubwa na diaspora ambao wengi wapo USA UK na ni nchi iliyojaa wasomi ambao wanaelewa mambo mengi ya kibiashara, saana, teknologia na uchumi
4.Nigeria ni nchi ambayo iliishajipata tangu zamani hasa kupitia soccer ndo maana ina ma legendary kama Okocha, Kanu, Olise, Babangida, Okechukwu, Babayayaro, taribo west na wengine wengii ambao dunia inawatambua, .. hivyo dunia inawatambua tangu kitambo
5.Ni nchi yenye uchumi mkubwa Afrika ikichuana na Misri pamoja SA hili hupelekea hata tasnia yao kupata sapoti kirahisi ukilinganisha na Tz

davidsika
Автор

Nigeria wapo juu sana, , hawawezi kuingia mfumo kwa amapiano, ingawa umefanya poa sanaa, , just do it

ameirzapy
Автор

Yani hiyo nyimbo moja imemvuluga wezao wananyimbo kibao zipo duniani

FrancisDonald-gocs
Автор

Anajitahidi lakini nigeria level zingine kuanzia Nyimbo zao kupigwa radio USA show wana jaza na sio club kama wasani wa bongo kwenye chat kubwa Kama Billboard Spotify kiufupi mziki wa bongo na Nigeria ni mbingu na ardhi bongo tuna safari ndefu ila Jama anajitahidi level za wana nigeria uliza sisi tunao ishi usa

mrenobishoo
Автор

Comasava ni nyimbo ya TikTok sio Hit ❤.

makaroyakisasa
Автор

Nyie ni wanasiasa.KOMASAVA NDIYO WIMBO MKUBWA KWASASA DUNIANI.PERIOD.

chizashungu
Автор

Sma alisema nyinyi watanzania mko tu komasava wengine naongelea kitu ya maana. Now boring story ya komasava

djafro
Автор

Diamond anajua promotion ndo anachowashindawenzie na anajua acchague nn cha kuimba na amuweke nan hamna zaidi ya hilo anawekeza san

BongoShoppers-
Автор

Shida atakayo ipata mond ni kuja kutoa nyimbo ambayo itakuja kuimeza komasava

ce-
Автор

Sasa unawachana watu hawajui kiswahili kwa kiswahili... Tanzania mnachekesha

musiccaentertainmentk
Автор

Hauwez toboa na kangoma kamoja kakubahatisha. Kakuhit miezi tatu tu.. wakati wenzetu album nzima mawe tu.. na hata hkna kelele nyingi kwa mitandao

musiccaentertainmentk
Автор

Ukwel utaendelea kuxemwa tu hii nyimbo ya Comasava xiyo hit bali imependwa kufanyiwa challenge hiyo skatai lakin haina ukubwa wwt Angalia hata namba youtube huwez compea na Asake Wave imetoka juz tu angalia views wake hata ya harmonize disco connect inamkimbiza YouTube

VitusEmmanuel-peyi
Автор

Hata hicho anachokifanya tu hapo hadi Kuchukua Video kwa anachokiongea Ni Ushamba tu🏃🏃

blockchain