CHRISTINA SHUSHO ALIVYOMTAMBULISHA DIAMOND PLATNUMZ KAMA MCHUNGAJI

preview_player
Показать описание
CHRISTINA SHUSHO ALIVYOMTAMBULISHA DIAMOND PLATNUMZ KAMA MCHUNGAJI

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113

LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻

Follow Us On:

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

kabla YESU KRISTO hajarudi tutaona mambo mengi

aderanderwa
Автор

Huyu dada anabadilika kulingana na mahitaji ya soko, anaangalia maokoto kiufupi she is smart ila unaweza kumwona wa ajabu kwa kuwa wewe akili yako ni fupi dunia imebadilika sana kifupi huyo shusho ndio kama diamond kwenye bongoflavour ataendelea kuwa na mafanikio pamoja na maneno yote anayosemwa same like diamond alivyo ana mambo mengi anasema sana but he is still on top na ataendelea kwenda huyu big up my sister shusho
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

nesto_automobiles
Автор

Waziri mkuu Yuko hapo lkn unashindwa kumpa nafasi unazidi tu kumsifia diamond!! Kuna wakati tujifunze kuzuia mihemko yetu kwa ajili ya protocol inapendeza zaidi.

enockngohel
Автор

Mungu wa Mbinguni Baba Rehema ushikaye maagano usiyebadilika tunakuomba watumishi ambao uliwaita wakutumikie wape kuona na kusikia kwako upya tena

OmbeniShoo-kgdr
Автор

Kristina Shusho Songa mbele usisikilize ya walimwengu 😍

BahatiSunga-ykqf
Автор

Naona Christine alianza na roho Sasa anamalizia na na Mwangaza haziezi kua pamoja....Tamaa Ndio itakumaliza.

mnjaladonald
Автор

Wakwanza mimi leo nipeni like zangu za Congo 🇨🇩

EmmanuelMurhula-jbcb
Автор

MUNGU TU alipiganie JINA LAKE TAKATIFU ' maana MUNGU NI MTAKATIFU ' kanisa murudie MUNGU KWA TOBA !maana kanisa linaitaji utakatifu tena ! MUNGU TUREHEMU!

doreenamlani
Автор

Crazy gospel singer women wonder shall never and

Farajahelene
Автор

Au utuambie Christina kuwa BWANA alishakuacha kitambo kam alivyomwacha Sauli akaanza kutapatapa?

ElisonguoShayo-hbgs
Автор

Just a matter of time, the truth is like a lion, release it it will defend itself.2 Cor 6:14 Do not be worked with in believers for what does light has to do with darkness, church of God n Satan.

danielnyamawi
Автор

Uyu dada sjui ana siri gan na uyu nasb sjui kinani maan kila kona yupo nae

naomymuro
Автор

aachane na nyimbo za ovyo Aimbe nyimbo zenye utukufu

luganomwanjotile
Автор

Jamani ni yule shusho ninaye mfahamu au ni mzuka wake umesema eti nani mchungaji? Rudia tena labdamm sijasikia vizuri

WiliamAyubu
Автор

Yaani Shusho anasema Nassib amekaa kichungaji????....Huyu si shusho ninayemfahamu mimi....huyu ni Shusho mpenda maokoto sasa analazimika kuwa chawa wa Diamond

gracyusoy
Автор

Ao wachungji matapeli wanaowatiya makanisani haowatu niwenzao tu niwaoja mchungaji wa mungu haweeifanya michezoyavile

hrepztr
Автор

Diamond amekaa kichungaji, , hapo umeyumba mno Dada.

timypaulo
Автор

Hapo shusho ulichemka tena sana. What drove you kusema amekaa kichungaji? Hapo ni hapana tena kubwà. Au umeshaacha kumtumikia BWANA aliyejifunua kwa Musa na wengine?

ElisonguoShayo-hbgs
Автор

Aki Nini hiyo shusho amevaa ndani ya nguo, ameongeza nn.

sylviamatindo
Автор

Baisha owana? Mudanganye tu bilebipofu bavyoviko nabafwata namusucheze n'a mungu

hrepztr