SIMULIZI MPYA : ANITA, by Ankojay

preview_player
Показать описание
Kwa jina naitwa Anita ni mzaliwa Dodoma, nimetokea ktk familia ya watoto watatu mm nikiwa ndo wakwanza nina wadogo zngu wawili wote wakike joyce na salome.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Anita na slim hawana kosa, kosa ni la wazazi hata ningekuwa mimi ningeendelea tu kumpenda mume wangu Kwa sababu nilikuwa sijui Kam ni kaka yangu, ila kubwa ningeendelea kumuomba mungu ailinde ndoa yangu pamoja na watoto wangu❤❤❤❤

eda_juma
Автор

Ni ngumu sana kumeza wallah Bora hta wawegukua mabinamu lkn kwa kua Wana familia mungu mwenywe ndie ajue mm nigetaka ushauri wa viogozi wa dini pia niwekwe sawa kifikra pia Yani madakatar wa ushauri hilo jambo ni kubwa sana akil yaweza lipuka haswa kwa cc watoto wa kike inaumiza sana makosa ya wazazi wetu inakua adhabu kwetu pole maisha yaendelee

sumeiyamaddy
Автор

Waooo ngoj tumskilize dada yet Anita anasemaj ❤❤❤

dalilaamiri
Автор

Katika simulizi zako zote anko jay hii imenigusa sana na imenipa funzo kubwa ❤Ubarikiwe anko jay ni Mimi mshabiki wako Emerance kutoka usa nakupenda sana pia na kukubali sana

evelinazaina
Автор

Uuuiiii nyieeee❤❤❤❤ this sound always make me go crazy.Anita wish you all the best❣💖💖

ruthwaithera
Автор

Big lesson learned amazing voice love it ❤❤❤❤

Winniequinepretty-wmrr
Автор

Kwanza nikushukuru ankoj watu wanaweza kusema hii NI simulizi tu haya yapo naninawashukuru hao watoto kwa ujasiri wao kwa ssb halikuwa kosa lao NI kosa la wazazi wao God bless you ankoj from zambia

alinaswemuziya
Автор

Asante mwandishi wetu mahiri sana Lisa mwala na msimuliaji wetu kipenzi cha wasikilizaji wake wa kike na wa kiume wakubwa na wadogo Anko j

RahelIbrahim-idli
Автор

Jaman hisimulizi ni tamu jaman na ime nifundisha vingi sana asante Anko jay na kipenz changu lisa mwallah mungu awabaliki.❤💙💚

queenlee
Автор

Sichezi mbali na kazi zako ase, zimenifungua akili na mawazo❤

sarahhagai
Автор

Hongera dada anita kwa uamuzi wako na msimamo mamaa pamoja na mumeo Mungu awabariki na aitunze familia yenu lkn hao wazazi walifanya makosa sana isay

ChristinesifaRuwa-ixiy
Автор

Ongeren Anita na bwanako Mungu azdi kuwapa furaha katika mausha yenu

rizkimw
Автор

Safi sanaaa makosa yalifanywa nawazazi so watoto hawapaswi kupata adhabu

carlossirya
Автор

Mmmh my brother ankojay hata ningekuwa mm ningebaki ktk ndoa yangu maana sio kosa langu my dear brother

salmamohamedi
Автор

Anko j unajuanga kutufurahisha kweli🙏🙏🤣🙏🙏🙏🙏

NawMi-ljcf
Автор

Shukran sana Anko Jay uzidishiwe baraka, kuna mafunzo tele

salmakim
Автор

Makose ni ya wazazi.Slim na Anita waendelee na maisha yao. Shukran kwa simulizi hii. Natumai imewafumbua macho watu wengi.

judyauko
Автор

Asante jamani nimeipenda. Runge wachana tu tukalea watoto

soldd-xzue
Автор

Hongereni sana kwa upande wangu ninge handelea na kaka tu

matesomoci
Автор

Siachani naye tena sikubari ni kulaviana tu❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉😂😂chezea mapenzi nakupa big up ankoj.

ConsoSeba