SEMAJI AHMED ALLY USO KWA MACHO NA STRAIKA JIPYA LEONEL ATEBA/'HII NI MASHINE YA MAANA SANA'

preview_player
Показать описание
SUBSCRIBE NOW:

About the Official Simba SC YouTube Channel:

Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference

🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mungu ibariki🦁 team yangu ya moyon❤ mungu uwabariki wachezaji wetu🙏🙏

ZakaliaGodeni
Автор

Hongera semaji letu, Maura yako unajua kutufurahisha na kutupatia tumaini
Mungu akuone kwa yote wachezaji wetu wakupe furaha semaji letu❤❤❤❤❤

marthamsacky
Автор

Simba nguvu moja Mungu naomba uibariki Simba sports tuwe na msim mzuri na bora zaidi 🙏🙏🙏🙏🙏

WendeMposola
Автор

❤❤❤❤❤ mungu akulinde semaji wetu Simba nguvu Moja nikiwa Mombasa

ALEXLOTAN
Автор

Mungu ibariki Simba yangu mungu mbariki Ateba awe mwokozi wawa na simba❤❤

MwebesaMwebesa
Автор

Mashabiki wa timu aliyotoka Ateba wamewakacrikia viongozi wa timu yao kwa kkbali Ateba aondoke, Mungu amlinde na amjaalie atupatie zaidi ya tunavotegemea.Aamiin

othmanhamad
Автор

mashallah.. muonekano wake tu anaonekana ni mchezaji mwenye nidhamu sana.. Allah amkinge na misumari ya kina sangoma..

ibrahimally
Автор

Hongera sana Simba kuongeza mshambuliaji mpya

samwelbundala
Автор

WellCome to Simba New Striker, Arteba, we Mnyama fans are with U.

bakarimakalo
Автор

Karibu Msimbazi mchezaji we2 🦁💪 uje utupe Raha sisi mashabiki wa mnyama Simba sports club 🔥💪

iddiramadhan
Автор

Karibu sana ATEBA hongera sana uongozi wa Simba Mungu ibariki Simba. Simba nguvu moja

SouleHamadimfaoume
Автор

Mungu ampe afyanjema na aanze kucheza Simba namungu amsaaidie afanye vzr simba

AdamJuma-xe
Автор

I love Ahmed Ally una mbingu yako you are amazing 😍🥰🥰

TabithaLukindo
Автор

Msimu huu mmejitahidi sana kwenye usajili. Hongereni tuombe Mungu tufanye vzuri

gidionmbokoso
Автор

❤❤Tunashukuru sana kwa usajili uliofanywa na viongozi wa simba wamepambana sana na wametutendea haki mashabiki wao kilichobaki kuomba kwa mwenyezi mungu awapa nguvu na moyo wachezaji waweze kupambana kwa ajili timu yetu ya simba.❤❤

gcjcshz
Автор

Congratulations 🎉🎉🎉 LIONEL CHRISTIAN ATEBAA❤❤❤

HezronKileo
Автор

Karibu sana mshambuliaji wetu mwenyezi mungu akulinde kijana wetu

MwajumaNyundo
Автор

Nitakufa na simba wakat wote, Mungu ibarik team yngu inshaallah, 🤲🤲💪😍😍😍

LindaMbilinyi-nn
Автор

KARIBU SANA ATEBA MUNGU WABARIKI WACHEZAJI WETU WA SIMBA NA UWAEPUSHE NA MABAYA YOTE

anithawidambe
Автор

M mungu tunakuomba wanasimba wote tulindie Simba yetu Amina....karibu sana Simba ateba mungu akupe nguvu nauweezo na Afya njema uwezo kuipambaniya Simba yetu

chikualiy