AFANDE READY - NAWAKUMBUKA ft PIZZO MAGIC OFFICIAL VIDEO

preview_player
Показать описание
Hello my people, i think you're doing well? Comming with a new track in feat with my best producer @pizzomagic146 Let's show love by enjoying and sharing this brand new song. God bless y'all ✌🏿✌🏿✌🏿

Song : Nawakumbukwa
Artist: Afande Ready ft Pizzo Magic
Director : M vava Gz
D.o.p : Gael shoot
Set Disgne : Paulin Laha
Make-Up : Shine boy
Editor : M vava Gz
Audio: Pizzo Magic
Manager : Doolking
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#drc
#goodvibes
#goodmusic
#reggae
#congo
#rap
#bukavu
#goma
#gangstermusic
#love
#remember
#2023
#hiphop
#hiphopmusic
#africanmusic
#2023music
#nawakumbuka
#ready
#afra
#freestyle
#musica
#music
#sud-kivu
#magic
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kwa kifupi mina wakumbuka wote lakini sote hatunge eneya kwenye wimbo ilikuwa namnatu yaku kumbuka tulipo toka la sivyo wimbo ingekuwa na munite 90minute ila peace and love kwa wote ✌️

afandereadyofficial
Автор

Kutoka Tanzania 🇹🇿🇹🇿 nimekubali sana jamaa kiswahili chake kime kaa vizuri sana👊👊

christophergeorge
Автор

Acha niseme kweli Kaka unanifuraisha tena sana kwaiyi espiration👏👏👏👏💪🇨🇩

Akimumbk
Автор

Le magicien lui même dans sa magie 🔥 Ready to feel this Banga 🔥

madamemoury
Автор

Good Job 👌🏽 nakumbuka bukavu yetu ya zamani 🥺

jessicamusole
Автор

Merci de penser a nous et nous dire que NAWA MISS B1K nous vont directement au coeur, ...
Nous nous rappellons de toi aussi depuis notre derniers FACEFACE KR et B1K AU STADIUM LAURENT DÉSIRÉ KABILA CONGO /RDC.

puis lors de nos deux grande OEUVRES de l'epoque TUPO IMARA KR &WABAYA B1k 🎉

Quand au B1K, NOTRE RAISI lui ne te laisse pas au bataille avec le petit, il te fait toujours valoir appartir de son production #COMING HOME2021 dont la première édition tu était son tête d'affiche☝️✅

TWOOP SHOW & RAM'S JAY sont dans le KATANGA drc/CONGO pour soutenir toujours la culture du KIVU, ...
JMARDO KOREDO (super STARS de ton époque )fait aussi un bon carrière dans le KINSHASA DRC/ CONGO☝️

BREF, FAIT DE TON MIEUX BRO C"EST LE CONGO \KIVU et le monde qui gagnent 🎉

Bonne chance AFRA NOTRE BEST❤✅✌✌

EXBk-mbwm
Автор

Kabisa unawakumbuka . Mze kazi iyo tena kama kawa thu. C'est l'Afrique qui gagne tjr

adamturnaboy
Автор

Afande, mbone haukukumbuka ma demu.

Hebu wakumbuke, nawakumbuka kinadada wasani wa Bukavu.

apollinairemurhulacizungu
Автор

Asante Fid Q, umenifanya nimjue Afande Ready, jamaa anajua kipaji kikubwa.. Bukavu na Bongo ni ndugu wamoja..

michaelmillinga
Автор

Iyi Ni Ngoma bro congratulations mime furai kusikiya Jina la mfalme Jeffrey nyinyi WA 2 Ni power la music ya kivu congratulations it's me from South Africa Ume Taja WA artistes nime furai kwamba ita Leta amani

Nestor_Faray
Автор

Hongera sana mzee wangu🙏zidishatu kusukuma gurudumu ya bendera yetu👉 African Rap Style kwa kuwa kumbuka Ndugu zetu wa maisha

EphremBMsudja
Автор

Mwenye sifa zake mupe iyi ni heat boss félicitation afraa

bigprincewarap
Автор

una ni kumbusha muziki wa home bk city

Ntwalidj
Автор

Flow 100% content 100% beat 100% Hongera sana kaka, karibu Tz, jitahidi ufanye radio interviews na Wasafi FM, clouds FM na EFM na ufanye collaboration na TZ artists, ila Daima usiiache BUKAVU kwenye nyimbo zako

michaelmillinga
Автор

Fid Q amenifanya nifike apa, bonge la msanii nimefurah kukufahamu

Atmospherec
Автор

Nakukubali sana brother wangu afande ready

J.B.M..C
Автор

A chaque fois una ni patiyaka baridi ku mwili. Uku general

jonathankinaya
Автор

Toujours au top, Mungu akubariki zaidi saana yako

bienvenubisimwa