Afya ya Mchekeshaji Zimwi yazorota, aomba msaada

preview_player
Показать описание
Mchekeshaji Zimwi ambaye afya yake imezorota kutokana na maradhi ya moyo anaomba msaada kwa Watanzania na wadau wasanaa baada ya kuipambania afya yake kwa miaka miwili bila mafanikio.

Muigazaji huyo amedai tayari ameshahangaika katika hospitali kadhaa na ameambiwa ana tatizo la moyo hivyo ameshindwa kuanza matibabu kutokana na gharama kuwa kubwa na tayari amesimama kwenye kazi kwa miaka miwili anajiuguza.

Amewaomba wasamaria wema, wadau wa sanaa kuokoa uhai wake kwani kwa sasa anaishi maisha ya shida sana.

Kwa sasa amerudi kwa Mama yake ambaye ni mzee huko Sabasaba kwa Mpili, Temeke jijini Dar Es Salaam.

Ameomba @wizara_sanaatz pamoja na Naibu Waziri wa Sanaa mwanafa kuangalia namna yakumsaidia.

Kwa sasa anapatikana kwenye namba 0716 190 198
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Bigup brother. Ulipokua unaelekea palikua pabaya

barrynzeyimana
Автор

Dah, aweke namba zake watanzania wachange chochote

WATUWAMJUEMUNGU
Автор

Duuh jamaa anajuag san wasanii msaada jaman sio paka afe mtoe rambi rambi zenu za kijinga

budaboss