PODO - TUONGEE

preview_player
Показать описание
wimbo huu umeimbwa na podo. umeandaliwa na producer SWAHILI

video imeongozwa na Director Eddy
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kimya chako na nyimbo yako tofauti toa ngoma kali game ngumu mdgo wangu

wizy_liker
Автор

Ndugu yangu umenyoosha Sana humu mwanangu

johafrika
Автор

Ngoma ipo vizuri ongela podo cha udele 🙏

mtotokelvn
Автор

Duuuh...kubwa sana..big up sana kazi nzuri hii

saidseif
Автор

Why !??? Watanzania Hatusapoti Ngoma Nzur Kama Hii Daah Big Up Bro And Dont Give Out Never Please Bro.

mohammedcutstv
Автор

Podo hapo chacha bro usiwachie kabisaa...#MkubwanaWanae bigup

FamousGamer
Автор

Umetisha wengine tu napenda nyimbo kamaiz mapiano tuachie wenyewe

husnamfuko
Автор

Mungu akutangulie kwenye safari yako ya mziki inshaalah

jojoqn
Автор

Safi sana Podo karibu sana kwenye safari

hassanmbaki
Автор

Mwambie producer pumz kashiwa kupunguza zina sikika mdo mdogo wangu

rojaog
Автор

Umetisha mwanangu sana its me pboyofficial 2016 tupo pamoja

pboyofficial
Автор

Kazi nzuri Sana rudini mfanye kazi mbona mko vizur mwambie na mwenzio Osama aachie ngoma mpya

muddyhamza