filmov
tv
CEDRICK KAZE AZUNGUMZIA MECHI YAO DHIDI YA DODOMA FC
Показать описание
Uongozi wa timu ya yanga SC umesema licha yakuwa kwenye nafasi nzuri lakini bado sio sababu ya kuwafanya wao waendelee kukaa kama watu ambao tayari wameshamaliza kila kitu .
Hayo yameyasema na Kocha wa Yanga Cedrick Kaze wakati wa mazoezi ya mwisho katika kuelekea mchezo wao dhidi ya Dodoma fs utakaochezwa hapo kesho katika uwanja wa sheikh amri abeid Mkoani Arusha .