Nadia Mukami X Bruce Melodie - KIPEPEO (OFFICIAL AUDIO) SMS SKIZA 6988684 TO 811

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

KIPEPEO LYRICS
NADIA MUKAMI FT BRUCE MELODIE

(Nadia)
(Bruce Melodie)

NADIA MUKAMI:
Ndio nimefika nyumbani
Kill mtu anatabasamu
Kuna furushi la sahani
Na vyakula vingi vitamu
Mamake kaniambia
Eti mwanawe anaoa
Dadake kasisitiza na si we Nadi anaoa
Tulivopendana hatuwahi zozana
Mapenzi kwa sana
Na Leo anaoana
Nilimuekea ahadi nitamzalia wana
Wa kwanza Kai wa pili Zuwena watatu Maria
Nilishamuekea ahadi nitamzalia wana
Wa kwanza Kai wa pili Zuwena watatu Maria

Kipepeo pepea mwambie asioe mwengine
Kipepeo pepea mwambie mi ndo nampenda
Kipepeo pepea mwambie asioe mwengine
Kipepeo pepea mwambie mi ndo nampenda
Kipepeo pepea mwambie asioe mwengine
Kipepeo pepea mwambie nampenda
Kipepeo pepea mwambie asioe mwengine
Kipepeo pepea aah

BRUCE MELODIE:
Subiri bado nakupenda
And I know na mimi unanipenda
Na sikutarajia kukuvunja moyo
Baby nisamehe
Ila siunajua masaibu yangu ma
Hutowezana na kukosa kwangu ma
Inauma sana kukuacha we
Ila sina budi baby
( Rwandan language)

Ni kweli tulipendana
Hatukuwahi zozana
Mapenzi kwa sana
Na leo naoana
Ila yote mipango ya Mungu
Nakuombea mema
Kubali Safari ya mapenzi boo
Imefika mwisho

NADIA MUKAMI:
Kipepeo pepea mwambie asioe mwengine
Kipepeo pepea mwambie mi ndo nampenda
Kipepeo pepea mwambie asioe mwengine
Kipepeo pepea mwambie mi ndo nampenda
Kipepeo pepea mwambie asioe mwengine
Kipepeo pepea mwambie nampenda
Kipepeo pepea mwambie asioe mwengine
Kipepeo pepea aah

NadiaMukami
Автор

Kenyans where are you 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 pokea love from kigali -Rwanda🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼

gtheone
Автор

Our own Bruce Melody nkibisanzwe ❤❤❤🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼

fabiencapella
Автор

Kama una una mwamini Bruce Melody gonga liké APA tu na usi WE mnafki kwaku liké je suis congolais ❤🍊🧄🥈🥈🥈🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

MChanceBoy
Автор

If you feel the voice of Nadia, piga like kama umesonga.
I love the album

MC_TONJE
Автор

number one in Rwanda
we love him

we are here for him 🔥🔥🔥

give me a like

felicienofficial
Автор

Bruce Melodie another level love from Uganda

Targetcomedytv
Автор

Rwanda 🇷🇼 🇷🇼 naija🇳🇬🇳🇬 Kenya 🇰🇪🇰🇪, tzanian🇹🇿🇹🇿, Burundian 🇧🇮🇧🇮 and all entire east African gather here for this album.

Gad-gc
Автор

Bruce Melodie king of melodies 🔥🔥🔥❤️❤️❤️

jeanclaudeniyonkuru
Автор

Rwandans 🇷🇼 where are you for Bruce melody ❤❤❤❤

philosoph
Автор

Kenyan babies please post that flag and congratulate our queen 👑👑🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

Saumkey
Автор

We are here to support kenyans artists because kenyans are really supporting east african countries not only Rwandans artists ❤ you are beautiful people kenyans ❤🎉🎉

Drgbjiumd
Автор

If you're here for Bruce Melodie ❤❤

mugishageovane
Автор

Wapi likes za Queen of the East na Bruce Melody🎉🎉🎉

SavaiSylvia
Автор

All Rwandans we love Bruce Melody for sure🥰🥰🥰😍 1:10

nshutischalom-mwcw
Автор

IT'S BEAUTIFUL SONG ❤💙 THANK YOU SO MUCH NADIA MUKAMI🇰🇪👑 FEAT BRUCE MELODIE🇷🇼👑 🔥🙌

Fernandez.Tvshow
Автор

I always come here when her songs are at a million views today am here at 500views what an album kanadia katambe 🔥🔥🔥

ni-edu
Автор

Waaa nili Kwa na ngoja vass kweli Nadia una jua kuimba zaidi ya wasani hapa bongo Toka uanza mziki mungu too hapo Kwa vass ume weka moto alafu hii colabo mungu tuu asaidie hii ngoma hii tambe kila uswahillini sana....kwali una jua 💫😔😏

KINGSHALA
Автор

I'm Rwandan but I'm always here for my Queen Nadia Mukami. Keep growing Nadia

mumbeleamisleonard