MSIBA: MWIGIZAJI GRACE MAPUNDA AFARIKI DUNIA

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Dah inauma Mimi umeni entertain tangu mdogo Sasa Nina 35 bado nakufurahia. Umeacha pengo😢😢😢

SechySeche-hmbd
Автор

Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe daima ameni. Ni muda wa kutubu sasa kwamaana kifo hakigongi hod apumzike salama marehem mungu akukumbuke sadaka. ulizo mtolea na. mwanga wa mbinguni ukakumulike daima🙏🙏

MerryAbiadhar
Автор

Sisi sote ni WA mwenyezi mungu na kwake tutarejea

AjaySaimon
Автор

Waah poleni from Kenya mimi ni shabiki wa huba tangu mwaka 2021 na nilimpenda Tesa na character yake kwa kweli imeniuma may she rest in peace na familia yote poleni sana.

ruthmbisi
Автор

Raha Ya milele umpe eh Bwana na Mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani. Amen 🕊🙏🏿

esthernkwamba
Автор

Innalillahi wa Inna ilayhi rajiuun kwakweli kufa ni kweli tutakufa Subhanallah Yani duh huu mwaka 😢😢

SuleimanKhdija
Автор

😭😭😭😭😭😭 😭😭😭😭nimeumia sana aisee jmn😭😭😭 mwenyezi mungu akupumzishe Kwa amani jmn😭😭😭kifo🫡

jaydecute
Автор

Nilipenda filamu zote hyu mama alizoigiza... Rest in peace Mamaa...tutakumiss sana Mom

mariamsulubu
Автор

Mwenyezi Mungu amrehemu Grace(Tessa)…Hakika sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea…🙏🏻

angelmashauri
Автор

Hakika sote ni wa mwenyezi Mungu na kwake tutarejea 😭 Mungu ampe safari nyepesi 😭 😭 😭 😭

nahimanajo
Автор

Da kweli kifo nifumbo tuombemungu atupe mwisho mwema inshallah 🙏 pole kwafamilia namungu atutie nguvu kwenyekila jambo

AishaMwarabu
Автор

Inauma sana mbona watu mahalufu wanakufa sana daaa inasikitisha sana 😭😭😭😭

LizyGelvass
Автор

Poleni sana watanzania wenzangu, Mungu amlaze pema mwenda zake

TeamBabajoan
Автор

Raha yamilele uumpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie apmzke kwa aman amina

alexiajoseph
Автор

Kwani maisha siku hizi ni nini eti?ukweli ukilala na kuamka mrudishie Mungu shukran zoota

sophiakimaro
Автор

Poleni kwa Familia na kwa Familia ya huba poleni kwa kumpoteza muigizaji bora Mungu ailaze roho yake pema

phmzqcz
Автор

Aaaah sioni cha kusema nimeumia sana, naomba nimshukuru Mungu tu.

DoreenDamaris-gqit
Автор

Yaani nmeona sijaamini mpk nimeingia huku ayo tv uiiii

NeemaAmbakisye-wx
Автор

Weee hivi ni kweli jmn au ndo taarifa jmn munatushtua e Mungu we Tessa umeondoka kweli😭😭😭😭😭

SarahCharls
Автор

Mungu awape faraja wote walio guswa na msiba huu
R.I.P Grace 🙏

jescarwegoshola