VUNJABEI Amjia JUU MWIJAKU kisa DIAMOND/Koma kunitajataja

preview_player
Показать описание
Mfanyabiashara @fred_vunjabei amjia juu @mwijaku baada ya kumshindanisha utajiri na Staa wa muziki @diamondplatnumz
.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika…

“Ni kweli tunahitaji huduma zenu kwenye
biashara zetu, lakini ifike point mziheshimu brands za wateja wenu na mahusiano yao na watu wengine, kuna maisha baada ya mitandao ya kijamii.
Nimeshakuonya mara nyingi, nilikufungulia mpaka mashtaka ukatuma watu yakaisha, nasema mara ya mwisho nakuomba ukome mara moja kunitaja au kutaja kampuni yetu "VUNJABEI" kwenye mambo yako.”
_________________________________________________________________________________
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe YouTube channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
_________________________________________________________________________________
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huyu mwijaku ni mjinga Sana!!!! Huyu mwijaku kichwa chake. Mduara kweli

BarbaraPatience-qtcc
Автор

Mwijaku ana stahili kustakiwa ni mropo kaji sana na anapen da sifa sana anadha ni kila mtu anapend a sifa wengine hawa pendi sifa ujue bora ashtakiwe

SelinaMdoe-jvpu
Автор

Mwijaku na Harmonize Mzee Popo ni kizazi cha chuki na Uchawi... Anjella ❌😭😭😭😭😭😭😭😭

SifaEmma
Автор

Kunzungumziya siyo vibaya nijuu anatakaga kuzidisha..nakutaka kuvunja eshima za watu siyo vizuri ivo ..inakuwa kama wana ugomvi nakusema vibaya...ila ayo maisha ya mitandawoni siwezi kuweza..roho yangu fupi.

ashuramanya
Автор

Kweli vunja bei mwambie akome ombaomba huyo chizi

MussaBakar-pp
Автор

DIAMOND KIZAZI KINGINE NYINYI MUACHENI

paulokenedy
Автор

Diamond nimoto wakuoteambali asifanishwe nawatu wahovyo

simonibonifasi
Автор

Anataka kutengeneza ugomvi baina yao, matajiri au wafanyabiashara wanasaidiana au biashara zao zinasaidiana kwa namna moja ama nyingine

ivanminja
Автор

Naahidi kumpiga mwijaku siku titakutana.serekali hili msilingiliye kama mnavyoacha ujinga uzagae mkiwa mnaona.nintamnyoosha kama mlishindwa

CamweziKarashnekov
Автор

Jamani hv masudi kesi nini hamumfungi huyu mwijaku anapenda ropokaropoka alafu ajifunzi kwa babalevo mwenzie anamipaka kwa watu

elizabethchabluma-zwqz
Автор

Watanzania kwani hamjui diamond za kitanzania bilioni 27 ila mwingine ambao mnamzungumzia yeye ako na pesa za kitanzania bilioni 8😂😂😂😂

Jefflutalo
Автор

Tok Dunia iubwe akun tajili Alie tok tanzania Aku fik top 20 na adi Dunia itapo Isha aitakuja kutokea waachen weny pes waongee EB achen iz bhan Kwa uchum gan ap tanzania inchi tajili Dunia zin kimbizan asa mdudu mmoj kweny Kanchi ambok Kan jitafut af tajili Kwa shilling ebu utoto huuu

Divar-txwl
Автор

Mwijaku anachangamsha gem watu wa Tanzania hivyo ndivyo mnavyopenda maana hata tv na redio mlikosa vyakuzungumzia ila kwasasa mwijaku kawapa kontent

swamadujumanne
Автор

Diamond ni level za kina MO DEWJI na kina GSM...Vunja bei bado mtoto anaejifunza kutambaa hata kutembea kwenyewe bado

NoName-pplo
Автор

Wote maskini tu mimi siwezi kuongea matajiri atuongei. sifa mbaya wanatuzidi umarufu tu.

AbirahIssa
Автор

KWA UELEWA WANGU MDOGO MEIJAKU HANA KOSA
VU JA BEI ANAONEKANA ANA MATATIZO TU NA MWIJAKU, KWA HILI HANA KOSA,
ILA LILE NA MASOUD KIPANYA ALIFSNYA KOSA.

mashramadhani
Автор

Mwijaku uchawa hauwezi tatizo lake anakuaga kama mwehu😂

godymastermind
Автор

Sikiliza niwaambie vunja bei ametumia akili angalia diamond ako na followers wangapi halafu pia kuna followers wangapi je ni mafanikio ya nguo ila diamond ni mwanamuziki tena mfanyabiashara wengi ambao wanaenda kwake then vunja bei fair poteza maka customer wa diamond ambao wanakuja kununua kwake😂😂

Jefflutalo