filmov
tv
Nick Salat atimuliwa kama katibu mkuu wa KANU
Показать описание
Chama cha KANU kimemsimamisha kazi katibu mkuu Nick Salat kwa madai ya kukiuka katiba ya chama hicho
Kupitia ujumbe uliotiwa saini na mwenyekiti wa KANU Gideon Moi, Salat ameagizwa kutotekeleza majukumu yoyote ya katibu mkuu na kusubiri uchunguzi wa kamati ya nidhamu ya chama hicho. Salat ambaye amekuwa mwandani wa Moi alikuwa mstari wa mbele katika miungano ya Azimio na Jubilee mwaka wa 2022 na 2017 kuhakikisha kuwa KANU inapata nafasi bora katika serikali.