Dizasta Vina - Top Shelf (ft J'cob)

preview_player
Показать описание
Official lyric video of Dizasta Vina and J'cob performing a record Top Shelf off the album A father figure.

Stream/download Top shelf now

Connect with Dizasta Vina

Top shelf lyrics

Top shelf
Top shelf
Hii material ni top shelf
Top shelf
Top shelf (nana nana na)
Top shelf
Hii material ni top shelf
Top shelf

Ukiona sisiki wananihofia
Ndio maana njia hizi haziishi doria
Ujinga haufichwi na wigi ama kofia
Na ukombozi ni kijiji cha utopia
Regime ya michongo kama sisi
em niwape hizi nondo ndo' mkasizi
Sifanyi mitoko bado nipo soko na machizi
Nilificha books wakati mnaficha mkongo na zigi
Ki-design nimechoka questions
Niko busy sina time ya kungoja sessions
Wasanii wako soft soft sana
Wanakoroga ka' wakongo boziboziana
Hapa hawachezi hawa ma-much know
Sieleweki mara wave mara particle
"Tukimsign sijui atachange hata kidogo?"
Wee, kaa na pesa yako ila nigee heshima yangu bro
Nipo mbali na so called social life
Siishi ambapo vyombo ni vingi
Nasafisha makolokolo ya chini kisha na-colonize
Hii ndio tofauti ya simple na easy so apologies

Chorus
Naishi navyojisikia, maisha yangu simulizi
Na hii record hidithi pia
Natumia sanaa na kuonyesha hisia zangu
So nisome kwenye historia
Hii material ni top shelf (top shelf) (nana nana na)
Hii material ni top shelf
Hii material ni top shelf (top shelf)

Verse II
Tunazama shop unaposinzia
Hii security top hazipiti njia
Prof nina lugha dope zaidi ya Shakespeare
Hii ni photon even clock never click here
Nipo mbali nasubiri ambulance kufika
(Mwite doctor my style is sick)
I’m out here snatching souls like NINJA
(Don Corleone type of $h!t)
Tuko race bro that’s why we die fast
Thinking of next show singoji uni bypass
Tunadate ma-good honey ma-fine ass
Hawaombi vocha maduu flani wa high class
High school uki dive dive una die fool
Ma tycoon wako high high wana fight too
Unapo-try try unapewa chai dry
Utoke nishai coz' my hype style is type two
Man, I now know how to Spell home T.O.P
Nini broken pieces mbele ya P.O.P?
Nini hawa kings mbele ya G.O.D
logo kubwa kama 26 ama B.O.B
Unataja jina huwezi kuhandle issue
Hizi ngumu hawa-dance wakina Angel Nyigu
Kaulize Camp ya Darful Kijitonyama
Nina catalogue 3 nzito sana

Chorus
Naishi navyojisikia, maisha yangu simulizi
Na hii record hidithi pia
Natumia sanaa na kuonyesha hisia zangu
So nisome kwenye historia
Hii material ni top shelf (nana nanana)
Hii material ni top shelf
Hii material ni top shelf
Top shelf
Top shelf

Top shelf (nana nana na)
Top shelf
Hii materia ni top shelf
Top shelf

Read more
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Minataka uyu anaejisifia sana ajichangany anga zako ututolee tribulation patrt 2

jamalibakari
Автор

Mwamba anajua lakini Hana pupa na umaarufu Bali uwezo wake unampa umaarufu automatically respect Vina 🙌🙌

Deadskytz
Автор

Fans wote wa Vina wana akili 💯🔥maana bila akili huwezi kumuekewa mwana

redmistmusiq
Автор

Tanzania uyu jama anaweza sanaaaa Ana stahili support kuliko ma rapper wenyu wengi Acheni Ku support ujinga
Love kutoka Congo DRC

managerdoolking
Автор

Kaita hii ngoma top shelf kwa maaana vtu vya shelf ilioko juuu vina heshmka na vktolewa ujue kaja mgen wa maaana hom so haya nimadn ambayo hayashikw hovyo shikamooo tena dizasta mimi kwa upende wangu naomba uibebe hip hop

Jordan-ovyc
Автор

Huyu jamaa ana Ma fans wa kweli, Yani hata kwenye comment section yake Huwezi kuta wale majamaa wa “wa kwanza kuview naombeni like😂😂😂”

cbegram
Автор

Wapi mpiga kelele lunya njoo uona wenzio wanavoo floo na hawajitapi

Realfrankvenanc
Автор

Wasanii wako soft soft sana wanakoroga ka wakongo boz boz ana

monixkarim-stqm
Автор

Oyaaa hii chupa ni hatari kuna mstari anasema hizi ngumu hawadance akina Angel nyigu😂😂😂

nyerutv
Автор

Huyu jamaa ako dunia inginine I say, he is my role model noambeni likes za D vina😊

princenebs
Автор

HUYU JAMAA NI ANAJUA DUNIA HAKUNA. 🙌🙌🙌🔥🔥🔥

Dyram_dee
Автор

Tulienunua nakala yako mapema tumefaidika sana na tungo zako. Huwez kujutia kumsikiliza huyu jamaa.

KitangariGenerations
Автор

Aloooh!! Hili kwelii ni janga kaka uliamua nini kujiita hiv na huna tofaut na jina oya apa tz uko pekeako budy!!!💥💥💥💥💥💥🤏

AloyceLubarisho
Автор

TUKIMSAINI SIJUI ATA_CHANGE ATA KIDOGO, , , WEEEEH KAA NA PESA YAKO AFU NIGEE HESHIMA YANGU BRO..🙌🙌🔥🔥🔥🤒

Dyram_dee
Автор

Ogopa sana watu wenye asili ambako kuna vyakula vingi vya asili, na maji mengi safi, ogopa sana maana hutoka watu wenye "High think capacity"

nakalikyumile
Автор

Wanangu tununue album tumsuport tusimpe tu sifa ambazo azifanyi hale

joowzeyboyjoowzee
Автор

nini hawa kings mbele ya G.O.D
yaani nini hawa wafalme mbele ya mungu😅 ila huyu jamaa bhn atengwe tu wamoto kushinda jua

karimmkungu
Автор

sieleweki mara wave mara particle dual of nature...planks vs einstein🙌

mkutiss
Автор

Rapa anaesikilizwa na watu wenye akili nyingi tu ila wajinga wakae kando hamuwez elewa 💥💥💥💥❤💪💪💪 vina ni cheche

philemontourafrica
Автор

Mm naanzaga kukoment kwa kuisifu Ngoma kabla ata sijaiskia then nikija skizaa naona sifa hazitoshiii Ngoma nikalii zaidii, , , , asee wazee dizasta anajua banaa apewe marose yake..

dismasmushi