ENOCK JONAS - BADO NAENDELEA

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Walinizika ningali hai kwa maneno yao. Walai habari ziwafikie, Jamani Ni Mungu tu! I'm alive today because of His grace the Almighty God ❤

frankkogal
Автор

Yesu ananishidia bado ninaendelea mtumishi wa mungu ubarikiwe sana

Rispah-urfu
Автор

From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪wasanii wa tz wanaomba nyimbo za kumsifu Mungu mbarikiwe sana wewe ukiwa mmoja wao natiwa nguvu sana na nyimbo zako. Neema zaidi

sharonamugune
Автор

Mutoto wa Tanzania that's good, with me I don't understand that language but I see the presence of God 🙏🙏🙏🙏🙏

phinearsndhlovu
Автор

Congratulations sana kazi nzuri sana huu Wimbo ni kama ulinitungia mie ni kama nilikupa ushuhuda ndipo ukanitungia hongera sana

abelpilato
Автор

Mungu sio mwanadamu hata aseme uongo, walinizika ningali hai Haleluyaaa🙏🙏🙏mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana

bintijoseph
Автор

Halleluiya walidhani nitakufa habari ziwafikie, walidhani nitashidwa bado naendelea, Mungu sio mwanadamu wapedwa❤❤❤🙌🙌🙌🙏

annanasimiyu
Автор

Ooh God im now self employed with abig business habali ziwafikie wadui zangu

NaikandiEsther
Автор

Hakika Mungu sio mwanadamu, , , this song really builds me I keep listening on a daily basis 🎉🎉🎉🙏🙏

carolinemakena
Автор

Mungu wa huruma akupe nguvu katika uwezo wa roho mtakatifu

gideonbasweti
Автор

Hakika habari ziwafikie ya kwamba YESU amenikumbuka na kuniinuwa kutoka chini na kuniketisha na wakuu, jina la Bwana ribarikiwe

smartmwakipesile
Автор

Mwaka hadi mwaka naona wema wa yesu, mwaka hadi mwaka naona baraka zake, sijaona kushindwa...God bless you brother.

kiplangatkevin
Автор

🎉🎉🎉🎉walisema biashara yangu imeisha, wanipee mda, coming back soon with testimony

ruthnzilani
Автор

Ameen mungu akubark sana ata ivyo mawazo ya mwanadamu n tofauti na ya mungu ❤❤❤munngu n mwema na atabaki kua mwema cku zote🎉

benta
Автор

The powerful song..imenibariki sana.madui hii habari iwafikie walipo, yesu aninipigania bado naendelea..wakati bwanangu alikufa walisema mimi nimeisha sasa but Mungu wa mbinguni anakupigia Watoto wasoma bado tunaendelea kwa yesu..Amen and Amen.

HELLENMORAA-ruse
Автор

Umeimba ma, umehubiri jina la Yesu litukuzwe. Nice song Bukusu woyeee

carolinenatembeya
Автор

Ata mimi nayesu naedelea maadui mtanyamaza wimbo nzuri inanipa nguvu kuendelea kumwamini mungu ndiye mueza yote❤ i love the song

daglasmumo
Автор

Jehovah Nisi
Jehovah Yahweh
Jehovah Adonai
Jehovah Shamma
Jehovah El-Gibo
Jehovah Jire
Jehovah Rapha
Jehovah Elohim
Jehovah Sabaoth
Jehovah King of kings
Jehovah Ebenezer
Jehovah Mungu
Jehovah Eloheka

Mulungu
Katunda
Ngai
Asis
Nyasaye
Enkai

erickekisa
Автор

I don't know why I'm in tears 😭😭😭😭😭😭😭😭 I can do it with God

LinetCherono-xp
Автор

God forgive my sin and let me start a new life and clean me with😢😢😢😢 blood of God

MuhongaLukwesa-bqsh