Walter Chilambo- No Wahala (official video)

preview_player
Показать описание
#NoWahala #imblessedEp #walterchilambo

No Wahala
No Walaha is the African word commonly used in Nigeria to express the state of being free from worry, distress, problems or troubles.
No Wahala song is number 2 track in I’m blessed Ep
The song tries to express the life of people’s who have Jesus in their lives and that are no longer have troubles and problems in their life.
In this song there a word like “No Wahala there is Jesus everywhere, No Wahala there is Jesus in me”. This shows how prestige and freedom that person have when there is Jesus in his life.

Track No. 2 On the Album I'm Blessed EP

Audio Production By: Love Music Brand
Booking & Enquires
Contact: +255718069509
#ImBlessedEp

Watch the latest music by Walter Chilambo:

Follow Walter Chilambo

Video Directed By AIC and XNIPER CG
Audio Produced by Walter Chilambo
Mix & Mastering by SHASKA
Script Writer by Xniper & Director Aic
Costume by Loveness
hair design Muuh Barber

Production by LMB FILMS (Love Music Brand)

.
.
.
NO WAHALA

INTRO...
....No Wahala
....No Wahala ....Eeeh
.
Verse
God Is Good,All the time
Hivi unavyoniona mi ananifanya niwe fresh
God Is Good oohh,All the time
Hivi unavyoniona naahh
Ooohh Mimi niko fresh
.
Bridge
NO Wahala
There's JESUS everywhere eh
NO Wahala
There's JESUS in Me ×2
.
Hook
Oohh oohh ooohh oohh
Oooh oohh ooohh ooohh
.
.
Verse 2
Hata Nikianguka chini
He is not far from me
And wherever I'm going through
He is there from me
Oooo My Father
Your so Good to me
Ninaimba na wimbo mzuri
Your my mellod iiihhh
.
Nikiwa na Wewe
Unanibebaga
Ninakuita mzee wa favor
Oohh ohhhh
.
Ukiwa upande wangu
Nani awe juu yangu Bwana
Maana we unatosha Yahwe
Oohh oohh
.
Bridge
NO Wahala
There's JESUS everywhere eh
NO Wahala
There's JESUS in Me ×2
.
Hook
Oohh oohh ooohh oohh
Oooh oohh ooohh ooohh
.
.
Chorus
NO WAHALA (No wahala)
NO WAHALA (No wahala)
NO WAHALA (No wahala)
When I'm with you JESUS ohhh

NO WAHALA (No wahala)
NO WAHALA (No wahala)
NO WAHALA (No wahala)
When I'm with you JESUS oohh
.
.
*Hook*
Nikiwa na Wewe
Unanibebaga
Ninakuita mzee wa favor
Oohh ohhhh
.
.
#WalterChilambo
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mtu mmoja anae kubali kazi ya bolingo ya huyu mwamba nione like ake apa hukutukiwatunasubili hii iliopo jikoni

ambindwilehosea
Автор

Kwa kuangalia picha kabla hatujaitazama inaonekana Ni kazi nzuri sana ubarikiwe mno brother @walterchilambo

francis.dg
Автор

Blessed 🙏 one 🙏 much love from Kenya 🎉🎉chilambo to the world 🌍🌍🌍🌍 gonga like tukisonga

esthermutua
Автор

Kijana wa mwenyezi unatubalikia sana mungu akuweke zaidi Kwa kazi njema na tukufu..amina🙏

shadrackbrastus
Автор

No wahala there is JESUS everywhere, there is JESUS in me.. Mzee WA favor aiiii akiwa upande wangu nani awe juu yangu💪💪

bettybarongo
Автор

I'm touch bro, May God continue to be with u always. A beautiful msg the video itself is a powerful msg nakupenda bure kakangu 🙌🙌🙌🙌🙌🙌

Justinarajabu
Автор

Creativity on point Pedejeee Walter.. No wahala

shadrackrobert_
Автор

Sijui niseme nini.
I’m speechless
Mungu akakuinue zaidi na zaidi ili ubariki wengi na Yesu akainuliwe kupitia huduma yako

MerinaMkuchu
Автор

Kazi yako ni njema Walter. Nakuombea usiondoke in His Presence

gracerweyemam
Автор

Ushafika Kenya...wimbo mzuri kutoka kwa Walter Chilambo- No Wahala.

nyalinyali
Автор

Kazi nzuri sana, hakika Yesu ni mwema kwetu peke yake anatosha kwenye maisha

SemaindaMhina
Автор

Hakika Mungu ni mkuu wimbo huu umenibariki naamini pia utabariki wengi amina ❤❤❤❤kaka Walter umekua baraka katika huduma yako Mungu azidi kukutunza

BeatriceMapinda
Автор

💥 Kama inawezekana andaa movie kabsa jina iwe no wahala success 😅

jimmyturner
Автор

Hongera sana kwa kazi nzuri mwenyezi Mungu azidi kukuinua zaidi kwa fikra nyingi zaidi.

ansigar
Автор

No wahala Nampendaga walta mpaka watu wanajuaga ni kaka angu annnn

DommyAbass-zhfk
Автор

Chuma cha moto Kakaa ur a big gospel preacher taking gospel to the top

Grace_Ministry_International
Автор

Ahsante kwa wimbo mzuri na video nzuri kaka mwenyezi MUNGU akubariki sana kwa injili yako

alphamwasakyen
Автор

Brother ❤🙏🙏🙏🙏 Hiii imeenda Barikiwa sana BABA

robbymvwango
Автор

Mungu akubariki sana na akuongezee ubunifu sababu nyimbo zinatubariki sana

prosperjohn
Автор

No wahala is the best song Congratulation Brother

samisaya
join shbcf.ru