UPDATES: Tazama zoezi la kukigeuza Kivuko linavyoanza Ukara

preview_player
Показать описание
Kutoka eneo la Ukara mahali kilipozama Kivuko cha Mv. Nyerere muda huu juhudi zinaendelea za kukiinua Kivuko kutoka kwenye maji.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

AYO TV
MNAJITAHIDI SANA KUWA WABUNIFU NA KULETA HABARI ZA KWELI, WENGINE WANADANDIA HABARI ZA WENGINE NDO WANATULETEA, AYO TV SAFI KABISA

marcodominico
Автор

poleni kwakazi ngumu na mungu awape nguvu ilikufanikisha kazi hii mungu awaongoze naakinge namabaalaa inshaalaaa

jamilamaashaalaaomari
Автор

Mungu tunakuomba uwasimamie watendaji hawa tunaomba ifanye hiyo kazi kwa mkono wako mwenyewe hao wawe vivuli tunawaombea ulinzi kamilifu

stinmillz
Автор

Kwa kweri inauma sanaaa watanzania wenzangu tuingie kuombea taifa letu tuombee tobaa juu ya nchi yetu na kufunga roho zote zamauti mana sasa tumechokaa munguu tusaidiee

saisare
Автор

Mjomba maguu ehee wananch itikieni ehee eee si si ndiyo tume kuchaguwa achana na maswara ya ujenzi wa ma bara bara tengeneza madaraja vizitumike vi vuko ii itasaidia mahana ata tanzania tuna uziwa bot, meli, nyingi mbovu ivyoo basi usalama kwa wananch si salama niheri kufa kwa punda kwa bina dam maumivu mazito iki isha soks sitatizo kikiisha kiatu hutoki munguu ibari tanzania m bariki magufuri asanteni sana, tim king majuto

hamedyshella
Автор

Mungu awapenguvu nyingi ilimumalize mapema na salama

tuphujekumuhkunonyiile
Автор

Hapo ndani kutatoka watu wengi sana 😭😭😭😭😭 haki nasikia malaika wani sisimuka mimi

sophiamose
Автор

R. I. P. MV. NYERERE
Nikweli kazi ya mola lkn watendaji wazibebe lawama ingali mdogo nliambiwa utamu wa muwa ulizamisha meli leo imekua tofauti kdg. Akheri aloendekeza utamu akambemenda mwana kuliko kuthamini simu roho za watu ukamezitawanya. (Nahodha smartphone) tumeona ulichofanya.

abdulkarimngobeke
Автор

Yarab wafanyie wepesi kila penye uzito katika zoezi hili inshaalh

mwanamispfu
Автор

Nshallah munqu awafanjie wepesi hii kzi ninqu sana na inatka ujasiri mkbwa

fatumafaridi
Автор

Mungu awatie nguvu mfanikiwe kwa haraka

beatricekamengekamenge
Автор

Allah akusimamieni mmalize mapema zoezi hilo.

saumuhassan
Автор

mshazika hv mnahakika hakuna wengine waliofukiwa hapo chini

jamillaibrahim
Автор

Naapo bad kuna watu wapo kwenye maji 😔😔😅 embu tuepushe na matatizo ya dunia

emmyyahya
Автор

nia aibu sana kwa taifa kwa kuwa hakuna vifaa kabisa yani kugeuza kubiko wanasema itachukua siku saba kweli? nchi za wemzetu hapo ni masaa kadhaa tu helikopter za kijeshi zingehisika hapo kwenye kujaza upepo na kuigeuza

sir.hassankizwi
Автор

mwenyez mungu wafanyie wepesi wafanikishe salama

merryn
Автор

Yaa rabby jalia zoezi hili lifanikiwe inshallah

eyfdfhuf
Автор

Maji ni mwanaume kamili Mungu awape nguvu

amirsab
Автор

Yaallah kila penye uzito wafanyie wepesi kwenye zoezi hili

nassoralmazrui..........
Автор

Ndoto zangu zilikuw ni kuwa mwana jeshi ila azikufanikiwa

merryn