MWIJAKU AIBUKA BAADA YA USHINDI WA YANGA, MKE WAKE AMGOMEA KUCHUKULIWA NA ALLY KAMWE, ATENGUA KAULI

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Pamoja na mwijaku naomba sana tuheshimu sana wake zetu nafikiri hajui thamani ya mke wake ongea pesa na vitu vingine binafisi sijapenda ni uzaririshaji

victorphilipo
Автор

Tunataka mke wetu Tunataka mke wetu mwijaku

Jenifer-wdhncvs
Автор

Wee tunakuja huyo mbwa tunamuua na mke tunachukua, we huwajui watu wa mpira, unafikiri Mashabiki wa mpira ni machawa, Subiri uone

ismailmasoud
Автор

Akalipe deni kwanza la Masoud Kipanya....😂

chemstry
Автор

Amezingua sana 😂 hata baba levo amesema walisema wawe wehu lakini sio ki hivyo😂😂

Comediantzfunny
Автор

Aaaah mwijako husiwe unajimaliza sana ndo ujifunze

magrethsanga
Автор

Peana mke we mwijaku si unajifanya na sanda f.c tushaifunga na yanga ubingwa wetu bana

AbdullahiIddi
Автор

Huyo msenge iposiku atakuja kutombewa mkewe

Murshid-rr
Автор

Mwijaku ka lishoga2 Hilo Mzee jitu pumbav shenz halina adab kbsa lichukuliwe hata lenyew

RamadhanZuberi-fyqb
Автор

huyu mtu akapimwe akili yake vizuri. Amna mwanaume kamili achezee hishma ya mke wake. Hapa panakasoro na ukosefu wa maadili. Yeye na mkewe gora moja. Akili Zao Wazijuwa Wenyewe. Jingazzzz

aaasa
Автор

Kwa kifupi Mwijaku hana adabu na ni mdhalilishaji wa wanawake

SaidJuma-ruvm
Автор

Atupe mke wetu uyo
mwambie atupe mke wetu😂😂😂😂

VailethVee
Автор

Simba na Yanga siyo Timu za kuwekea Nadhiri kubwa Kubwa kama Mke, Nyumba, Kiwanja, Fedha kubwa nk.Hizi hazitabirikagi.Kufikia Mwezi Desemba, 2024 tutashuhudia Maajabu.

fnnyanda
Автор

Mke wa mwijako asipewe maji 😂 ni huduma tu

nashnene
Автор

Kwani kesi yake na Masoud Kipanya imeishaje jamani mbona kama ame relax sana 😂 huyu hatakiwi kupoozwaaa sheeenzii

victoriamwampulo
Автор

Uyo mkeo kama yupo vizuri kiakili asisite kuitoa Kwa watu kwakua humpendi na umemwonyesha live...kwakweli aigawe

kasimramadhani
Автор

Ww unawekea hadi simba auna akili mbwa we

Gmeninoclassic-bo
Автор

Na Ali Kamwe hawezi kumchukua maana mwanamke sio kwamba kawekwa kuchukuliwa kama mnyama bali ni kiumbe anapaswa kuheshimiwa sana sana sana.

Mwinjaku sio mke wake tena ila pia Ali Kamwe hawezi kumchukua unless akae amalize eda ya hedhi 3 or 3months/Ajifungue halafu ndio akaoe Ali Kamwe kama nayeye huyo mdada atakua amemridhia kua mme wake.

Unless wawe hawafuati sheria za Quran na Sunna za Mtume (S.A.W).

Uislamu unatambua vyema haki za Mwanamke na huwezi ukamdhalilisha kama hivi ndio maana kukawa na adhabu/Kafara kwa mwanaume mzembe mwny kufanya vitendo kama hivi.

Wabillah Tawfeeq

hamadsuleiman
Автор

Yaani Mwijaku unajua jinsi ya kutengeneza kujiweka kwenye stori ili watu wakujadili wewe ulijua Makolo wanafungwa. MARKETING INAFANYA KAZI YAKE. HONGERA SANA.

AliHassan-iblq
Автор

Mwinjaku next time usirudie hawa Yanga hawashidwi kitu

aminatanzanya