Nicodemus Njohole, nyota wa Simba aliyekaribia kucheza Arsenal ya England

preview_player
Показать описание
NICODEMUS BONIFACE NJOHOLE: Kiungo aliyeng’ara Simba SC kuanzia mwaka 1978 hadi 1982, anasimulia namna ambavyo ITC ilimkosesha nafasi ya kucheza soka la kulipwa England katika klabu za Arsenal na Bournemouth, akaamua kwenda Austria ambako alicheza hadi alipostaafu mwaka 1998.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hizo ana bonge la afro brother man uchezaji wake km Khalid Abeid

MohamedRugamana
Автор

Mtangazaji unakosa kumbukumbu nzuri, unawachanganya wasikilizaji sana.

clementiddi
Автор

Pia nduguye BONIFACE NJOHOLE ALIKUWA MZURI MNO

hafidhnzota
Автор

Lenny hakucheza Afcon 1980, alikuwa bado yuko Simba B.Alipandishwa kikosi cha kwanza mwaka 1984..Kabla ya hapo alionyesha kiwango kizuri katika kikosi cha Simba kilichobakia nchini baada ya kikosi cha kwanza kwenda Brazil mwaka 1983....

GideonMalabega
Автор

Iddi Pazi alisajiliwa Simba mwaka 1983 lakini hakuchez msimu huo kutokana na kufungiwa na TFF kutokana na kusajiliwa timu mbili Simba na Majimaji.Nico hawakucheza mechi na Pazi lakini walikuwa wote mazoezini Brazil mwaka 1983.Nico alicheza Simba tena katika mashindano ya klabu bingwa CECAFA mwaka 1992 na walicheza na Ramadhani Lenny katika mashindano hayo

GideonMalabega
Автор

Mbona hukuongelea kuhusu Kuchezea Benham fc ya Kenya

AhmedJeizan
Автор

Jamaa namkumbuka tulisoma Msimbazi MISSION SCHOOL

adamlubawa
Автор

Wakati wa Nico Njohole Simba ilikua na mafundi kwekweli namkumbua Thuweni Ally alikua anamashuti balaaaa

hassanabdala
Автор

Wewe mtangazaji una shida sana, Ramadhani Leni amekufa zamani sana wewe unasema anawaangaliq

saidsuleiman
Автор

Jamuhuli Kihwelu alikuwa ndiyo kiooo chake

adamlubawa
Автор

Sasa Lenny ni marehemu iweje awatazame muda huu

hassanmwallimu