MAUAJI Mengine KIGAMBONI: MZEE DEREVA TAXI AUAWA KINYAMA, ALITOWEKA NYUMBANI GHAFLA, MTOTO ASIMULIA

preview_player
Показать описание
MAUAJI Mengine KIGAMBONI: MZEE DEREVA TAXI AUAWA KINYAMA, ALITOWEKA NYUMBANI GHAFLA, MTOTO ASIMULIA

MAUAJI Yameendelea kutikisa jiji la Dar es salaam, ambapo Kigamboni pia wamekumbwa na janga hilo baada ya Mzee aliyefahamika kwa jina la Mzee Mgosi anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 62 ameuawa na kutupwa...

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Daa inasikitisha sana mtu mzee kama huyu kutendewa unyama huu, si bora tu wengechukua gari hiyo bila kumdhuru, mzee why??

edwardmakonge
Автор

Kitaeleweka tu mwaka huu R.I.P magufuli huku mambo yale yamerudi tena mzee wangu mungu akuweke mahala pazuri 👏👏

edgarnandonde
Автор

Jamani ss binaadamu tuwe na huruma kwani ww unaelekea wapi unamtowa nafs mwenzio kweli mungu awalaani 😭😭😭

mamaahmad
Автор

Mwenyezi mungu tunaomba huruma yako Yarabi 🙏🙏🙏

sadamwaka
Автор

Amani imetoweka Aiseeee Baba katika jina Yesu simama nasi 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😫Majuzi kuchomwa moto kati hapa napo risasi hatujakaaa sawa mauajii 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Poleni family

priscacharlescharles
Автор

Mbona umebadilka ghafla Tanzania yetu ???? Eee Mungu simama na nchi yetu 😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏

airinsumeno
Автор

hawa madereva wa Taxi na boda boda wana riski maisha , siku zote wanaandamwa

kiri
Автор

Hii Nchi inahitaji maombi ya kuvunja roho za uuaji kwa watanzania.Mungu pigana nao wanaotoa uhai wa mtu.usiwaache waendelee kuishi watoweshe kwa namna utakavyo Ee Mungu usiyeshindwa.

gililwise
Автор

kweli kauli ya magufuli ilikua na maaan kwamba tutamkumbuka R.I.P magufuli mic u tushaanza kukumbuka hali c swari

ladykimnan
Автор

Nenda mjambo angu kalale Salama hakika wamayakatisha maisha yako hii dunia haito waacha wataadhilika Hapa Hapa Dunia.. Nawaombea walokusindikiza wakufikishe Salam lushoto na upunzik mjomba angu😭😭

kuruthumshaban
Автор

Jaman jaman kwan kunakitu gn inchini mwetu dah 😣😣 mbn matukio mengi hv

sophierseyyd
Автор

Poleni sana ndungu zetu watanzania kwa kweli damu ya mzee mkosi itawahusu

nelsonmunguumwongozeraisiw
Автор

INNa lillahi wainna ilayhi rajiuun😔😔😭😭😭jmn kuna nn bongo mbona kila cku tuu

dechaggagirl
Автор

Huyu samia amalize muda wake wa urithi aondoke zake. Ana kazi ya kuzulula tu kutwa mara burundi mara uganda nchi inazidi kuzama tu.

ashuuuaisha
Автор

Tangu kifo cha baba yetu Tz kumekuwa na matukio ya kutisha... Cjui wahalifu wanapata mwanya wakufanya matendo haya wakijua raisi wa nchi ni mwanamke, ivyo ana power dah jmn tunaelekea wp watu tunauana kama kuku!!! Tunakumisi jpm kweli mwanaume ni mwanaume tu eshima ilikuwepo kipindi cha uai wako now akuna tena😭😭

neemazee
Автор

Jmn hii tz ya samia imekuja kivingne, polen wafiwa😭😭😭🙏

saknajumapili
Автор

Kwanini tanzania 🇹🇿 mauwaji nikilasiku I really love Uganda

hanifamasudi
Автор

Daah hii nchi yetu imekuwa na majnga xna jamn toka kaingia samia ni shida xna kila cku matukio pole xna kwa wanafamilia kwa kupat kwa msiba mkubwa hv kwan nn ulinzi hakun kam zaman yaan hayo matukio tulipumzik xna sasa hv kumekucha

fatemafatema
Автор

Buriani Magufuli, pumzika kwa amani baba, ulisema tutakukumbuka😭😭😭 tulishakukumbuka sana

miriamsimwanza
Автор

sio kwetu tu angalia na kenya kijana aua watoto 12 nyakati tofauti amekiri pia caroline Kangogo tumrudie mungu izi ni siku za mwisho

friminamkenda