HATAKI SHULE DOGO SELE & STEVE MWEUSI

preview_player
Показать описание
video hii inamuonyesha steve mweusi akijalibu kufanya ujanja na kufeli mwishoni
.
.Camera man by👉 Big
.
Story by Steve mweusi
.
Chini ya udhamini wa chami ndala nyeupe
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Steve natk like yako mbn na sele mi kila siku wa kwanza

mbongijunior
Автор

Mm napenda shule sana halafu mwanifugia mlango kweli

manisobblowi
Автор

Steve and sele nyinyi ni watu wangu 🇰🇪

emilywairimu
Автор

Daaah steve+sele 🔥🔥🔥🔥 nipe like kutoka kenya

latestvideos
Автор

Stvemweusi
Dakuyakasikumoya
Drslmu
Sikumoyanikuyenkusalumiya
Kantavi
Unapendakamukurangasana❤❤❤❤❤❤

RuhuneKabose
Автор

Kwel we Steve kipenzi akili zimesafili aise😂😂😂😂😂😂😂😂😂

mozanamata
Автор

😂😂😂😂😂steve wachesha sana nimipango ulio ipanga sasa sele nae wee mjanja kweli hy shule hukuenda pesa ya soda umekosa

maishajuma
Автор

Lakini steve na dogo sele mbona mko hivo😂😂😂 #Nawapenda sana bhanaa♥ warundi tujuane😚

scheillamutoni
Автор

Eti mali ni bahati kama ume sikiya hapo gonga like stive wewe uta tumaliza 😃😃😃😃😃

aljimmykabumbabinazam
Автор

😂😂😂😂, , Steve na dogo balaa kubwa 😂😂😂🔥🙏

johnnabie
Автор

Kazi poa sana steve na dogo..nawaombea dua kwa kila atua

teresiahnzangi
Автор

Continue with the same spirit you gags

monicawanjiru
Автор

Seteve na sele nawapenda like kwenu jamani😂😂

nasrahassanmasesa
Автор

Naona a man sana nkiangalia mchezo wenu

hassannyamawi
Автор

😂😂😂😂😂😂 nipo mwenyewe ndan ila nimejikuta nimecheka kwa sauti

hamismkeya
Автор

Kwakweli mnanifurahisha,
Napata kucheka Dunia ya tatu

dr.baraknoahj
Автор

Everyday I am laugh Steven mweusi ft dogo selr

Swedisound
Автор

Ni mekomend video senu kama sote lakini huyu stive aja wahi ni jibu

yohanakivuyo