GB 64 APAGAWA NA GOLI LA ATEBA, WATAONA JOTO YA JIWE MSIMU HUU

preview_player
Показать описание
Simba vs al hilal
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

❤❤❤ SIMBA SIMBA SIMBA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ UBAYA UBAYA UBWELA UBWELA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

salimmalaka
Автор

🎉🎉nakukubali broo nice toa cheche mzee❤❤❤❤

jintongwa
Автор

Sema brother utopolo majini FC wanaumia sana 😂😂😂

AminaLibisa
Автор

Nakukubali sana unachambua vizuri sana

JosephmoleliMoleli-izjt
Автор

GB64 UMETISHA BABA, UKISHAKULA TANO HAUTAKIWI KUCHEZA BERBY TENA, MANURA CHUKUA UJUMBE HUU MAANA ULITUKOSEA

brightonchedego
Автор

Wape vyao simba nguvu moja ubaya ubwela

AmiryHamza-gspp
Автор

GB jamaa umemjibu vzr, nahic alikosa suali la kuuliza ila akalazimisha kukuuliza, yani Simba co mcmu huu tu hata micmu iliyopita Simba inatengeza nafac nyng sana, waandishi wawe wanaangalia maswali ya kuulza

othmanhamad
Автор

nakukubari kk mkubwa wapee mistari hao hawajuwi

braitonilomo
Автор

Hahaha🤣🤣😅, , , ivi munajuwa maana ya ubaya ubwelaa, ,, maana yake ubaya Umerud, alf mimi namalizia tena

MshamSaid-otbc
Автор

Sasaiv wamekuja na ngoma eti yuko wapi

EdwardKyabon
Автор

Tongea lifungwe linapindisha pindisha tu tim bovu ilo😂😂😂

khamismohammed
Автор

M cjui man ya ubaya ubwela namby maan yke plz

SuleimanAli-cxyk
Автор

Mlevi huyoo porojo nyingi sijui unapewa hela wewe kiboko yako mchome wewe

maxmia