Khadija Mavoice - Wanateseka sana

preview_player
Показать описание
Wanateseka sana ni NASHEED iliyoimbwa na Khadija Mavoice unaweza kumfollow #Instagram @khadija Mavoice#Facebook @Khadija Abdallah Mavoice
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mashallah wajinaa wangu umejitaidi sanaa allah akufanyie wepesi inshalla utoe na video yake naisubr kwa ham

khadijaabdallah
Автор

ujumbe mzur sana mpka waniliza wazaz wanapotengan bas watot hukosa malez yanayohtajika na hak ya mtot ndio ongezeko la watot mitahan kukithir daah

adramakish
Автор

maa shaa llaah
ujumbe mzuri sauti nzuri imekuja muda mzuri
mungu akupe kila lakheri Allaahumma aamiin

abubakaryusuph
Автор

maa sha allaah. bikhadija ni nzur sana allaah akufanyie wepesi

jumaamrimasoud
Автор

Maashaallah mwanangu mzur Mungu akufanyie wepes katika kazi zako hongera sana mumy

stelafrank
Автор

masha allah ujumbe mzr kbs allah akuinue kwa kipaji chako

hanifamoustafa
Автор

hongera sana khadija ... its seems lyk ua a senior but still at the biggining of the journey ....keep it up dear

ronaldtilya
Автор

Hongera sn Mdogo angu naashallaa nasubir kwaham kuona vedio yake

samiarajabukiulashalila