RAIS SAMIA ATOA TAMKO ZITO KUHUSU KILIO CHA UKALI WA MAISHA NA BEI KUPANDA 'TUTAJIBANA NA KUJINYIMA'

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asante Mungu Wangu Kwa kuwa umekisikia kilio cha waTZ.

fruitfulmpanduji
Автор

Waziri wa fedha + Waziri wa nishati = janga la taifa. Eeh mwenyezi Mungu tusaidie.

catherinemzurikwao
Автор

Sasa bibi naona leo unaongea kwa hisia kama ulivyo tangaza kifo cha rais wa Africa Jemedari wetu MAGUFULI sasa naona tutapata nafuu

lloveyoutanzania
Автор

Wew sitman hta kusikia saut ykoo umesababish hta vifurush vimepnd Bei Sana wewrw

loveremedy
Автор

Tumezoea bhn, pandisheni zaidi Lita moja iwe sh.5000/= atakaye ona hali ngumu tulisema aende Burundi.

prowingrayson
Автор

Bibi tozo kweli hii inaonesha unaongea kutoka moyon maan mara mwisho kusikia sauti kama hii ni pale ulipo tangaza kifo cha jemedari wetu jpm, pia nakupa ushari wa bure ukitaka uongoze nchi hii bila kelel za wananchi
1.Tengua uteuzi wa mwigulu nchemba
2.January makamba
3.Amosi makala
Pia unawez kureplace kwa kuteua watu wafuatao
1.Kefa mwakipesile
2.paul makonda
3.Ole sabaya
Hapo mama utakuwa umeuoiga mwingi lakini sio kama wanavyo sema umeupiga mwingi hao wanafki

kefamwakipesile
Автор

Mama anaongea kama anasoma Taarifa ya habari

leonardmarca
Автор

Hebu jaribu jaribu kutembelea hata vijijini uwone hali ilivyo maana mama upo bize sana na move

jaffarymnaro
Автор

Pesa nyingi uzipeleka kwenye filam ambayo kwa mwananchi wa kawaida haiwezi kuwa na manufaa

izraelyherman
Автор

Mmmmm tuondoleeni na matuzo. Maana hata kabla ya Vita ya Ukraine still sisi TZ Tulishapandishiwa makodi kama yote.

fruitfulmpanduji
Автор

Magufuliii Baba Mungu akupnguzie adhabu ya kaburiiii sijapt kuona kichefu chefu Kama hchi ulichotuachiaà

loveremedy
Автор

Asante mama leo muonyeshe kama unasikia kilio na kufanya haraka kutatua thanks mama tunajua nchi jirani mafuta lt mpk3800

shemanagroup
Автор

Tumezoea mama acha tujenge nchi kwa mikono yetu

justinefelis
Автор

Rest in peace jpm nchi imegeuka wananchi maskini wanakufa huku mkuu na movie imeshatoka wamo wakina peter wamechukua bilion 7 za watanzania wanyonge huku wanakufa njaaa ni maajabu magufuli tumekukumbuka hakika mungu akuraze mahali pema kamanda

frankcharles
Автор

UNAJIKAANGA KWA MAFUTA YAKO MWENYEWE KAMA SANGARA.

valenakomba
Автор

Na mpunguze safari na matumizi ya vurugu ya pesa za walipa kodi. Kupanda kwa bei ya mafuta ni kisingizio tu! Mnawabana Watanzania wa hali ya chini ili kunufaisha kundi la wachache. Mungu anawaona!

lilyjones
Автор

Tukisikia sauti yako inatia hasira na msije mkashusha sh 100

mauricempinga
Автор

Eti mmemuelewa rais wetu watanganyika? 🙇🙇🙇

rogarkunambi
Автор

Nchi kama hakuna rais yaan inajiongoza yenyewe

salmaathuman
Автор

Pole bi mkubwa upo kwenye nchi ngumu sana

ahmedjuma