BABA LEVO AMTUKANA DUDU BAYA/ MJINGA POMBE ZINAMUENDESHA ANANYUMBA KAPANGA

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

ww kaka napenda uvyochekesha unipunguzia mawazo . karibu Oman baba love

alialghafri
Автор

Uangalie interview ya Baba Levo iishe hajasema all in all aijakamilika .... Hahah lkn nakupenda sana Baba Levo

coletashirima
Автор

Yaani haka kajamaaa hakana shida na mtuu na furahia uwepo wake

saidsinani
Автор

An bora niache interview ya diamond sio huyu mwamba

danrappergangamaa
Автор

Yani msechu ndio wamwishoo kbx🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

bakaryalphonce
Автор

Sjawahi Jutia kumalza mb zangu kuangalia interview za #balevo😂

vaghoghontweki
Автор

Kutoka 254 much love baba levo tunakupenda 😂😂😂

riffmuny
Автор

Kweli kbs Dudu baya analolote anabakiliya kusemasema tu

loguelwangila
Автор

Mafanikio muda mwingine huwa yanakuja baada ya kupita magumu flani umepelekwa jela umetoka na mambo yamejipa piga kazi

babarahmababarahma
Автор

Fanya kazi zote ilimradi zina leta hela ila kazi moja tu usifanye ( USHOGA )

ramadhanomar
Автор

Sijawah jutia kupoteza mb zangu kwajil yako baba levo

dastanexfoud
Автор

Fundi majumba utawauwaaaa mzee nakukubali kinoma

deogratiussamson
Автор

Baba levo nakukubali sana wewe una akili sana SEMA wanakuonea tu awa masulutani wa hii nchi

MtanganyikaTanganyika
Автор

Tunakubali baba levo upo vizuri, tuta msupport msaniiebwako kwa heshima yako

mkalikwanza
Автор

Baba levo hizo essay ulikuwa unajua kuzimalizia maana ni All in All ..nakupenda lkn

aishimachame
Автор

Baba levo dudubaya gongo imekula mifupa daaa nimecheka adi nimevunja mbavu

paschalboniface
Автор

Namkubali baba levo, upo vizuri Sana,

mkalikwanza
Автор

Kama msanii anamiwani mikubwa hivi ndo usanii au nn

mashalahwajimwaga