MY DAUGHTER I ep 16 I

preview_player
Показать описание
Follow Me On Instagram

Tiktok:

Facebook:

#clamvevo
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama Unaamini Mungu Kwanza Kabla ya Kutazama Series yetu pendwa ya My Daughter Gonga like hapa, pia Usisahau Kumshukuru Mungu Wetu kwa Kukupa Siku Njema ya leo🙏🙏🙏🙏

KibweOnlineTv
Автор

Kifo kinakuja pasi na taarifa ndugu zangu naihusia nafsi yangu nanyi pia mda tunao tubadilike tuombe mwisho mwema tufe tukiwa shahidi

mussajumaa
Автор

Toka ianze My Daughter sijawahi kupata like 😂 na kama ww unatazama ukiwa kitandani umetulia zako weka like hapa

MATEOJOSEPH-ncgf
Автор

Wanao mpenda yesu kuliko hii move 🎉🎉🎉🎉 weka like hapa zakutosha ❤❤❤❤

MadamOrida
Автор

Niko Hapa Kuwaombeeni Tu Kwa Upendo Wangu Kwenu M/mungu Awape Kila Wepes Kwenye Majambo Yenu Pia Awalinde Kila Siku Na Husda Za Walimwengu Inshaallah Amiiin🙏🙏🙏 Kwa Uwezo Wake Manani Na kuwasaidia Amiiin🙏🙏🙏

HabibaKhamisi-xotz
Автор

Wale tunawatçh tukiwa bed hello 👋👋 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 much love ❣️❣️❣️❣️💖

DamarisDammie
Автор

Leo ilkuwa bomba kwangu.
Sandra
Last chance
My daughter

jumamathias
Автор

Unachelewa sana sahz utamsingizia nan tena maan yule binti wakat wake umepita ala dakika nichache licha yskuchelewesh

BethshebaDaud
Автор

mungu ni muweza wa yote kikubwa uzima na kuombeana mema kila siku 🙏🙏

MartinezAuson
Автор

Blaza unachelewesha kutoa na pia dakika zinanakua kidogo yani kifupi unapunguza utamu blaza from Moçambique. ❤❤❤

HenriquesAliguene
Автор

Wangapi tunaangalia tukiwa kitandani ❤️🥰
Mungu awafikishe kesho salama 🙏

TanashaPamelah
Автор

From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team vevo❤

hamzaIlunga
Автор

Ngoja na mm mwaisa nipate like kidogo humu 😂

EvanceMwakyusa
Автор

tunaompenda mwenyezi mungu kulko hii movie tujuane kwa like.❤️❤️ALLAH AKBAR

YasinSaid-nk
Автор

❤❤🎉 hii movie nzuri Ila uchawi hauna maana kabsa

sadahamad
Автор

Sw move nikujifurahisha je na nyie mnamfurahisha Alie waumba Jaman kaa kwa kufikir ucikurupuk muabudu mola wako Alie kuumb dunia ni papito

DOGOALONE
Автор

Naipenda hii move jamani naomben like japo sijui nizakaz gan nyie nipeni tuuu😂😂😂🎉

VeronicaMinja-zgmv
Автор

Wa kwanza kutoka Kenya 😅😅😅 kuimba ngoma ya doctor mkisii anaimba kama vybyz

kangundoactors
Автор

Kazi nzuri ila clam unachelewesha sana kutoa mwenderezo ❤❤

KassimMkumba
Автор

Anko nzala kaja na shati lake 😅😅lile lile

AshirafuMaulidi