DANGER episode 1

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Watanzania tumpeni maua yake brother mwakatobe anajua sana embu tuache ubinafsi tupendane

MalushwaHaruna
Автор

Kasongo wa tz😁😂anyway love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

djhollystar
Автор

Afazali mwakatobe umeludi maan tuli kumiss wangapi tulimiss mwakatobe

zowclassic
Автор

Danger by mwakatobe mwamba naipenda pamoja na #kasongo👐

MortezaMrWigans
Автор

Musa na mwakatobe in Danger hahahahaha

JamesMwandoje
Автор

Mwakatobe kwenye ubola wake ❤❤😂😂😂🎉🎉🎉😂😂❤❤❤🎉🎉

HamisiMachinda
Автор

Mwakatobe umerejea tena karibu xana❤❤🎉🎉😊😊😊

Danielngoiva
Автор

Ulikuwa kimya sana mzeee shabik zako tunasubiri kaz zako❤❤❤

marq_squres_officiall
Автор

Mina ku kubali sana mwaka tobe kutoka Congo 🇨🇩

JPMBENZA
Автор

Kazi nzuri sana Mwakatobeee, TUNAOMBA NAFASI YA KUFANYA KAZI NA WEW 🎉🙌🏻🎉

wastarabucomedy
Автор

Aaanh uyu mwakatobe uyu atakuja kutuvunja mbavu umuuu

XhedyAlly
Автор

Moto wakuotea bali nimengojea sana i hope ii itaenda sana haishii halaka🥰😘😘😘😘🤩

MercyMacharia-jl
Автор

Mwakatobe wewe ni noma sana from. Mozambique naomba like zangu

FarahiaAli
Автор

Nilikuwa nimekumisi sana mwakotobe wangu mie Karibu na big up❤❤❤

mwanamisishaban
Автор

Salim kutoka South Africa, nakubali sana Mwakatobe mtuu wangu, karibu tena siku nyingi!!!

NdenzakoSammy
Автор

Gusa Achia twende kwa mwakatobe 😂😂 kasongoo

Seth-xktw
Автор

Mm shabik wa kiokote na mwakatobe kiukweli kuna kitu baina ya kiokote na mchawi wa taifa tunaomba ep ya pili, ,, mauaaa yenu hayo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

ShakorSea
Автор

Kaz nzuri sana kiokote napenda ukitumia iyo saut hongera sana umetisha🎉🎉🎉🎉🎉

Izackyfanny
Автор

Kasongoooo yeyee 😅😅😅😅 much love from kenya

Noonylove
Автор

Mwakatombe twakupenda sana ndungu tafuta monja upinge na mzee kicheche

danthebazuutvmytalents