NEEMA YA GOLGOTHA #live #gospel #music

preview_player
Показать описание
Utulivu choir inakuleteya wimbo mpya uitwao: NEEMA YA GOLGOTHA: Haleluya, haleluya Mungu wetu atukuzwe, kwa mambo makuu, ametutendeya kutupa bwana Yesu, aliyejitowa kwetu ili tuweke huru ili tuweke huru, tuwe na uzima tele milele milele milele! kwa maana ginsi Mungu aliupenda ulimwengu, akamutowa mwanaye wa pekee, ili kila mutu amwaminiye asipoteye, bali awe na uzima wa milele, upendo wa ajabu tumependwa he! Yesu sadaka yetu kamilifu: tutamsifu tutamsifu dunia nzima isikiye, tutamsifu tutamsifu dunia nzima isikiye, walio mbali na karibu wasikiye habari za Yesu Munazareti, waone furaha ya wokovu na uzuri wake! samani ya wokovu tumepata sisi yelele hailinganishwi na kitu chochote, nemma ya goligota tumepata sisi, hailinganishwi na kitu chochote, wazazi wangu, rafiki zangu hawange jitowa ili niokoke, kuna yule aliye jitowa ni Yesu. Wokovu kamilfu tumepata ni kwa neema tusichezeshe hiyo neema ya Goligota.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Neema ya tosha, mubarikiwe sana kwaya utulivu

HubertIsharaAmoni
Автор

Neema ya MUNGU inatosha ❤❤❤❤❤🎉 tunaishi kupitiya hio neema

neemabandu
Автор

Mungu tena aendeleye ku bariki na kupanuwa mipaka

Gloriamoyi
Автор

Bwana awabariki wa imbaji wetu wa chorale utulivu tuna wa penda sana

JanvierBigirimana-pf
Автор

Tunaishi ni kwaajili ya NEEMA kwa kweli

kwanamalipo
Автор

Mungu tupemwisho muzuli kulikomwanzo mungu tusikiye

oliviermugisha-ftvr
Автор

Mungu atusaidiye kweli mutuombeye basi watu walushangi kanisa ime achwa kwajili yavita🙏😭🙏😭

InnocentYusufubahati
Автор

Mungu utusaidiye tusichezeshe iyo neema ya Golgotha kweli

DavidisharaNkuriye-yllf
Автор

Vraiment tumeipata bila kupana garama fulani njo mana inatubidi kuyi samini

HeritierAmourNIYO-fsvo
Автор

Nasikia kubarikiwa God bless this woman.

kajosbright
Автор

Mungu wetu atukuzwe kwakunipa uzima kufika sikuyeleyo

JosephMasudi-cc
Автор

Ningekuwa goma kama ndaanza imba nanyie vraiment munanibariki ❤😂😅

KitumainiSylvain
Автор

Mungu aendeleye kututiyanguvu tuzidi Kupanda kiwango

simeonnsengiyumva
Автор

Hatuwezi chezesha neema ambayo tulibipata kwabure sisi wamoja hatungelijulikana ata

PatientSendegeya-tmoo
Автор

Kweli tusichezeshe iyi neema ya goligota sabubu niya kipekee

HéritierDalili
join shbcf.ru