Let It Flow - Original Stinger ft Slinger Tripple one (Official Lyric Video)

preview_player
Показать описание
From the EP - Concrete Jungle
Produced by Vinc On the Beat
Visualizer by Maguah Official
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wanisa wa kenya ni wadeadly kama unakubali piga like @slinger 111 @OriginalStinger Big up🙌🙌

keelandante.
Автор

🔥🔥🔥 📯📯 pull up. Imebidi niskize mara kumi. Mr Shkilish shkalash stinger

stephenmwangi
Автор

Stinger💯👻..eiy, punchline maestro✨..
Flow 💯...ana deliver kuliko pumwani😂😂

HenryOchieng-rxrz
Автор

Naeza washika fiti nikitowa ngoma na scarzo🎉, , , stinger maanzeee😊

BronzzOfficial
Автор

Mi nataka hawa wawili watoe an Ap kama si Albam😭😭😭😪

breezstarboy
Автор

Ati dame anadai yeye na James bado Wana Bond 😂😂😂. We tuue basi

kelvinmutura
Автор

Hii colab ndio nlikuwa nangoja 🔥🔥 MAAAD!!!

purplekobra
Автор

STINGER 🔥🔥🔥 flow vybe feelings bars energy, intonations eeishh delivery 🔥🔥🔥

kanusqimlegend
Автор

Hii nilikuwa naingoja sana bana, Stinger x Slinger, More of this zikuje bana yooh

Uchedez
Автор

this is what Double S means Slinger and Stinger 💯

stOneKAY
Автор

Utangoja chorus uchoke😂😂😂...Noma🔥🔥🔥LET IT FLOW💯🔥🔥🙌

am.i.zack.
Автор

Nimechoka kuoga kwa karai so kuingia shower iko kwa bucket list✋️😦😤barsss!!!

juviajuma
Автор

Jituu na Beast kwa beat moja. Hapa utaona moshi 🦾

themono-eyedsniper
Автор

Wakuu wote ❤ still #NFM🔥
STILL ME #kingpinchulah 👊🏼👊🏼

kingpinchulah