TUNDU LISSU AFUNGUKA SABABU ZA KUGOMBEA UENYEKITI CHADEMA TAIFA

preview_player
Показать описание
#JAMBOTV

...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hivi kama mnamuelewa lisu kama Mimi nipe like hapa chini jamani lisu anaweza

healingclinic
Автор

Daah!! Hii speach imenipa nguvu sana! Kiukweli hii nchi inahitaji mapinduzi kabisa!

stellajoachim
Автор

Speech nzuri sana na yenye ujumbe mkubwa na mipango mizuri ya ujenzi wa chama na utawala bora kwa cdm na wapenda haki na demokrasia nchini🎉🎉🎉🎉🎉👏👏👏👏

asiliyetuonlinetv
Автор

Ukiwa M/kiti, utaliponya Taifa. Mambo ya hovyo ndiyo yaliyotutoa humo. Mungu na akusimamie kwa jina laYesu!!🙏

vellenahfuraha
Автор

Mungu arikujua kabla yamisingi yadunia utapita kwaamani naona chadema kitapata mwenyekiti

TomassJaphethAndrea
Автор

Daa mungu amesikila maombi yangu kuna siku si nyingi nilikuwa najadiliana na mke wangu nikawa namwambia kwa hali ilipo fikia inatakiwa kiongozi mwenye fikra na mbinu mpya za mapambano na hawa madhalimu kuliko kuendelea kulia lia kumbe jambo lilikuwa njiani leo hii imeibuka pambazuko jipya viva lissu

BoneSeba-uijd
Автор

Kamanda Safi sana umeonge maneno mazito sana, hakika wewe ni kiongozi wakuigwa.

Mungu akulinde na kukuinua zaidi na lile kusudio ambalo Mungu amepabga kwako, litimie .

shadracktarimo
Автор

Lisu wewe' ni Nyerere WA pili Tz Mungu akusimamishe Kwa makusudi yake na makusudi ya wa Tanzania.

EmmanueNzilano
Автор

Hongera sana kamanda Mungu ndiyo imekuleta tena baada ya kupigwa risasi tunakuhitaji kuwa mwenyekiti wa chadema

samsonmollel
Автор

hii hotuba ni viva lissu huyu ndo mkomboz wetu❤❤❤

MaximeMasinga
Автор

Jamani wewe ndio Mungu aliye kurudisha kwenye kupigwa risasi

Samwel-kznq
Автор

LISU akiwa Mwenyekiti atakuwa na power ya kukabiliana na chama cha majizi

thelivingwordchannel
Автор

Umepata baba unafaa kuwa mwenye kiti wa chama, asante mh. Lisu.

aloycemisigalo
Автор

Pongeziii sana kwa lissi....Naamini ukipat nafasi hii utakuwa na nguvu ya kupambana na CCM

robertpaul
Автор

Meza inapinduliwa live 😅😅😅big up lisu ..Lisu akishinda chadema tu nachukuwa card chadema

Nyanda
Автор

Hii speech ya Lissu imenifurahisha sana

YosiaHamisi
Автор

Nakuja kamanda huyumbishwi kamanda wangu mungu akupe nafasi

TomassJaphethAndrea
Автор

Wewe mwandishi ni mj😅nga sana, Ulivyoandika na yanayosemwa na mh Lissu ni tofauti na andiko lako. Kama umetumwa kupotosha umekwama.

jangalaalexbubehi
Автор

Nilikuwa namkubali mbowe lakini kwa hii speech nimebadili mawazo tumpigie kura Lissu

sammjanja
Автор

Mungu alikuponya kwasab alikuwa ana mpango na ww ili awadhihirishie wanafki wez ma wenye roho mbaya kuwa analolotaka mungu binadamu hawez kulizuia

LouisKibwana