WA MAMA ACHENI ROHO MBAYA#viral #tanzania #comedy

preview_player
Показать описание
VIDEO HII NIKWAAJILI YA WAMAMA WAKAMBO WOTE WENYE KUTESA WATOTO BADILIKENI JAMANI TANZANIA INCH YANGU NAIPENDA
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

huyu jamaa kaongea kwa hisia Sana kwann vijana amboa Bado hayujaoa tusikilize hii thanks bro

dicksonmbilinyi
Автор

Daaah jamaa ww soks zimeliwa na mbwa 😄😄😄 dunia tu hii🚶🚶kaz nzr

davialkejo
Автор

Angaria kamanda anajituma kwa ajili ya maisha ya family alafu mwanamke anakuwa mshenzi

shabanimzalla
Автор

Daah kwakweli ni shida sana wanawake wa aina hii

husseinnkuna
Автор

Umeongea Sana bro! Pole. Wamama acheni ubaguzi! Huyo mwanao hautomla nyama!! Na hujui atakae kusaidia badae.

michaelgolden
Автор

Duu wanaume sisi mateso mozambiki msumbiji

mudiachimoachimo-hxeu
Автор

Wanawake wanakua narohombaya zisizo namsingi kiukweli😅

mnyalucomedy
Автор

Duuh! Wanawake wengine haithaminikihata kidog. Kam hampend huyo mtot achanje mbuga👏👏👏👏👏👏🤛

priscanjuu
Автор

Mwanamke akitaka ahame saanane za usiku amtese mwanangu nikijua nitakachomfanya hatasahau maishani mwake kote

rashidyally
Автор

da wanaume tunamoyo sana wakujali watoto wa mwanamk lakin wanawake awajal ilo dah

dizooboy
Автор

Kama hawez kukaa na mwane2 achape raba

amosimnyambwa-kkes
Автор

Kweli kabisa kaka, kuna wanawake kama hao kibao

vero
Автор

Hao hap hawawez kukomet hao wana laana kwa mungu

rasulyathumani
Автор

Daaaah kweli mwanangu kwa jinsi mnavyopata tabu na changamoto za ma maliasili alafu mwanamke akufanyie hivyo

boythenuru
Автор

Wanawake nikama watoto lakin inatakiwa sisi wanaume tusiwaamin hata kidog

karimuissa
Автор

kama mimi uyo namfukuza siku iyo iyo k.kibuyu

jumannerajabu